Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

Nadhani wakati Nyalandu alipo toka CCM kuhamia Chadema uchaguzi haukufanyika.
 
Nje kidogo ya mada....Nilisafiri toka kampeni 2015 Anaejua hivi tushafika uchumi wa kati au tunakaribia?
 
Mkuu Gambino, tumeishajiandaa kwa yote, hili likitokea miradi hiyo kusimama kutokana na Corona, hiyo hali kisheria inaitwa force majeure, hivyo kitakacho fuata, ni kumuongezea muda wa kutosha rais Magufuli hadi akamilishe.

P
Na tayari 3.3 billion zimekwisha letwa na Denmark kwa ajili ya SGR na ipo pesa njiani kwa ajili ya Stiglers.
 
Kwanza hakuna mahala nimesema napenda miradi isiishe. Rudia kusoma.

Pili, hiyo endemic unayosema historia inasema ni ipi hiyo iliyoikumba Dunia yote? Magonjwa yametokea ila yalikua yakiathiri nchi moja au eneo flani na sio Dunia nzima. Na pia hata hivyo miaka hiyo hata kama ilitokea Dunia haikua interconnected kama sasa.

Wachumi wanasema hii ni zaidi ya 2018 financial crisis au zaidi ya great economic depression ya 1929 wewe unasema haitachukua mwaka mmoja, hizi akili watu mnazitoa wapi? Hamkwenda shule?

Tatu, hizi least developed countries kama Tanzania hakuna vyanzo vipya vya pesa zaidi ya kodi, mikopo na misaada. Kodi yenyewe inatoka kwenye mfumo wa sekta binafsi dhaifu ambayo ikipata msuko suko hakuna mbadala zaidi ya mikopo na misaada, kutembeza bakuli na kuwalamba mabeberu makalio. Sasa hakuna beberu atakaekula hela ukajenge miradi kama hiyo, hapo watapata sababu ya kukubana, pia huwezi kujenga hiyo miradi huku watu wanakufa njaa, hakuna madawa, haluna vifaa tiba wala miundombinu muhimu. Mfumo wa sekta binafsi nchi hii ulishajifia kabla hata ya corona, sasa utazikwa tu.

Kama tunaomba tuendelee kuomba hali isiwe mbaya kama inavyotabiriwa, ikiwa hivyo huku kwetu hali itakua mbaya zaidi.
 
Miaka 5 hata moro haijafika means mwanza na kigoma si chini ya miaka 20 sijui Safari hii ccm watapigia kampeni nn hakuna mradi wa kukamilika ndani ya miaka 10 ijayo
 
Mkuu Gambino, tumeishajiandaa kwa yote, hili likitokea miradi hiyo kusimama kutokana na Corona, hiyo hali kisheria inaitwa force majeure, hivyo kitakacho fuata, ni kumuongezea muda wa kutosha rais Magufuli hadi akamilishe.

P
What do you mean. Atakuwa huko site mwenyewe akijenga kipindi chote hadi kwisha.
 
Si lazima useme hivyo. Wachawi mnajulikama kwa kuficha ficha mambo hata maneno mnaficha ficha hamui wawazi.

Endemic au pandemic doesn't matter. Yeyote upendavyo itumie, makes no different wakati wewe umeli localize hilo janga kwenye SGR na Steigler pekee lakini hujagusia migodi ya Twiga.

Pia umesahau kuwa juzi tu SCB wame "negotiate" kwa niaba ya serikali na kufanikisha financing ya mradi ws SGR mpaka unapoishia phase ya pili.

Sasa hivi watu wapo kwenye maandalizi ya kupata fedha za kuanza phase ya tatu na kuendelea, uko wapi wewe, umelala?
 
Miaka 5 hata moro haijafika means mwanza na kigoma si chini ya miaka 20 sijui Safari hii ccm watapigia kampeni nn hakuna mradi wa kukamilika ndani ya miaka 10 ijayo
Kampuni tofauti zinaweza kupewa kilometres 200 ,200 au vipande e.g. Dodoma tabora, mwingine tabora-Shinyanga, Shinyanga -Mza
 
Usiwe na wasiwasi. Kuna mpamngo wa maombi ya kitaifa hii miradi ikamilike!
 
Safii
 
Am obsessed with grannies. Please tell me what can I do to win your heart. I promise you i will give you all you want. Please come we start a family
Andika Kiswahili sijakuelewa. Lakini kama unanitongoza weka bandiko lako kule MMU hapa unaharibu mada.

Heshimu nyuzi za watu, au huna mama wewe? Unaijuwa maana ya heshima?
 
AndikamKiswwhili sijakuelewa. Lakini kama unanitongoza weka banriko lako like MMu hapa yanaharibu mada.

Heshimu nyuzi za watu, au huna mama wewe? Unaijuwa maana ya heshima?
Forgive me but know am interested
 

As long as miradi inayofanyika sio chukizo mbele za Mungu na hakika kuwa itakamilika tu hata kama sio kwa wakati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…