Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

Pesa iliyochomwa kwenye

1) kuprocure madiwani
2)kuprocure wabunge
3)kurudia uchaguzi tata
4)kununua mapanga boi
5) kugawa pesa bila mipango barabarani

Majibu yake mtayapata kuanzia September 2020 na kuendelea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyama havina shida, Ila vishabiki vilivyoko kwenye Vyama ndiyo matatizo mtupu, Vimeambiwa kuzomea mwanzo mwisho hata kama na vyenyewe vinaumia ndani Kwa ndani, Ila vifanye tu ilikusudi kuna boss mahali anachekelea, ingawa hata huyo boss anayevituma naye anamaumivu vilevile, Daah, sheeda kwelikweli aisee
 
Kweli mkuu na sasa hivi boss amejichimbia kule kijijini,tulijua baada ya Pasaka atakua amerudi hapa darila naona bado yuko mapumzikoni mkuu.
 
Ile miradi ilikufa kabla ya kuianza msiseme sijui wakuiendeleza sijui koona mlishashindwa na hamtafanikiwa isipo kuwa kwa kutubu dhambi mlizozifanya damu mlizozimwaga ma Ccm
 
Ukweli bila ya ushabiki miradi yote miwili tunahitaji tangu miaka arobaini iliyopita lakini hatukuwa na vision hiyo au sijui vipi. Tutaikamilisha kama kweli tuna nia na tumpe support aliyeanzisha.
 

Ndugu mpaka sasa Kiuhalisia tayari hiyo Miradi imeshachelewa baada ya COVID-19 kuharibu Ratiba nzima. Ni Miujiza tu labda!
 
Wewe ni mchawi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaipenda hii miradi isipojuwa wale walileta mbwembwe, kejeli na ubaguzi, wakaenda mbali wakasema hakuna haja ya demokrasia wala Uhuru, kwa kuwa wameleta maendeleo,

wengi wetu tulioumizwa na hayo matendo yao tukakwazika kufikia hatua ya kuilaani na kuomba isifaninikiwe hii miradi,

Mungu ametusikia kilio chetu, hii iwe fundisho kwa watawala wenye kibri na majivuno.

Naamini Baada ya 2020uchaguzi tutapata Raisi mwingine mwenye maono, myenyekevu anayesikiliza ambaye ataifufua taratibu bila kuathri mambo mengine muhimu
 
Ndugu mpaka sasa Kiuhalisia tayari hiyo Miradi imeshachelewa baada ya COVID-19 kuharibu Ratiba nzima. Ni Miujiza tu labda!
Wewe huelewi kuwa moja ya kigezo cha kupata utakatifu ni miujiza?
 
Ukweli bila ya ushabiki miradi yote miwili tunahitaji tangu miaka arobaini iliyopita lakini hatukuwa na vision hiyo au sijui vipi. Tutaikamilisha kama kweli tuna nia na tumpe support aliyeanzisha.

Nafahamu kuwa moja ya kigezo cha utakatifu ni "vision". Wala sishangai.
 
When one door is closed the other is opened.

Miradi itaendelea labda litokee lingine.

Historia inaonesha hakuna calamity ya endemic/pandemic iliyomaliza mwaka mmoja bila kutulia.
Kwa upande wa Endemic mbona Malaria imekuwa ikisumbua sio mwaka bali miaka kusini mwa jangwa la Sahara na Latin America?
 
Neither SGR nor Stigler's gorge will stop.

Corona haitochukua mda itakwisha na mambo yataendelea kama kawaida cha msingi watanzania tujikinge na tuendelee kuchape kazi.
 
Sahihi kivipi . Mimi nachosikia ni pandemic disease. Sema wewe usahihi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu tatizo linakuwa kwako kwa sababu Kingereza si lugha fasaha kwako na bado upo katika kutafuta kukielewa, unachofanya ni kutafsiri neno kwa neno. Tofauti na mimi ambae mpaka ndoto nnaota Kwa Kingereza na ni lugha nnayoitumia sana kwa sasa kuliko Kiswahili. Nnapokitumia huwa sifikiri kutafsiri neno kwa neno.


mfano nikikwambia tardiness is endemic in our company. Does it mean company zingine hakuna tatizo la tardiness? Fikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…