Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

Afe kipa afe beki miradi itakamilika. Hii miradi ni sawa na garimoshi lisilo na gia ya reverse wala breki
 

When you elect a clown, expect a circus!
 
Neither SGR nor Stigler's gorge will stop.

Corona haitochukua mda itakwisha na mambo yataendelea kama kawaida cha msingi watanzania tujikinge na tuendelee kuchape kazi.
Hebu waulize waliopo Rufiji wakuambie kinachoendelea. Barabara zimeharibika baada ya mafuriko ya mto Rufiji. Gari za mzigo hazingii wala kutoka.

Pengine Jiwe angekuwa na akili kidogo tu angejiuliza kwa nini watangulizi wake wote hawakujenga hiyo STIGLERS.
 
Yani wabongo ndo hapo tunapokosea hasa kwenye kujidai wajuaji kumbe madudu tu.
Umezingua inatakiwa ukubali . Dunia nzima Kuna COVID 19 pandemic. Kuna waalimu wanafundisha shule lakini nao wanazidiwa na wanafunzi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba omba Hana chaguzi.Tutegemee kutii masharti ili tupate misaada kwa mabeberu tunaowananga.Beberu huwa Hana haraka utarukaruka we at the end utakuja tu.
Waweza ambiwa ili nikupe msaada mpige chini bashite Sasa hapo ni pa tamu kukiuka masharti
 
Mafuriko na Corona vimekuja kumaliza kujimwambafy sijui ccm watashikia nn wangewaongezea mishahara polisi pekee maana ndio ndugu zao kwenye shida
 
The guy is too much inner selfness cares know but only himself
 
Elezea maana ya mradi mkubwa?
Bandari ya Bagamoyo iliyoasisiwa na JK ni mfano wa miradi mikubwa?
Ujenzi wa barabara ni mfano wa miradi mikubwa?
Bomba la gesi lilioanza na JK ni mfano wa miradi mikubwa?
Ujenzi wa maabara kwa kila shule ni mfano wa miradi mikubwa?
Mradi wa maji wa ziwa Victoria ni mfano wa miradi mikubwa?
Ujenzi wa Terminal 3 Dar ni mfano wa miradi mikubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you serious and what you are talking?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana juzi kati zimeshushwa Bell trucks za kutosha kwa kazi hii. Kama ni mfuatiliaji na unajua mashine za kazi za off road utakuwa unajua hii chuma inaweza kwenda wapi. Its simply one of the best Articulated Off Road Dump Trucks
 
mama leo nimekuelewa sana.hana adabu huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana juzi kati zimeshushwa Bell trucks za kutosha kwa kazi hii. Kama ni mfuatiliaji na unajua mashine za kazi za off road utakuwa unajua hii chuma inaweza kwenda wapi. Its simply one of the best Articulated Off Road Dump Trucks
Yote hiyo ni fire fighting strategy. Kama Jiwe angekuwa anatumia akili kidogo tu tusingefika kwenye kuingia hizo gharama za ziada. Kila contractor anachokileta sasa hivi kumuwezesha kufanya kazi kina athari kwenye gharama ya mradi
 
Yote hiyo ni fire fighting strategy. Kama Jiwe angekuwa anatumia akili kidogo tu tusingefika kwenye kuingia hizo gharama za ziada. Kila contractor anachokileta sasa hivi kumuwezesha kufanya kazi kina athari kwenye gharama ya mradi
Sina uhakika na mradi umefika stage gani na kama mkandarasi hapaswi kuendelea kuleta vifaa kadri mahitaji yanavoongezeka. Unavoongea ni kama as long as mkandarasi tayari yuko kazini ni kama alipaswa awe na kila kitu tayari na hatakiwi kuongeza zaidi kuendana na muda na mahitaji yanavoongezeka na unajuaje kwamba hizi gharama za kuongeza vifaa haziko covered kwenye mkataba wa awali yaani kwamba mkandarasi hakujua kuwa msimu wa mvua utakuja na ntahitaji vifaa maalum kwa msimu huo so ni calculate kwenye quotation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…