Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia akapita bila kupingwa uchaguzi wa mwakani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani.

Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea Urais hapo Mwakani.Kwa sababu Lissu ambaye alikuwa anatazamiwa kugombea hapo Mwakani. Tayari viongozi mbalimbali wa CHADEMA wametamka wazi hadharani kuwa Lissu hana uwezo na hakuwa na sifa za kuwa RAIS Wa Nchi hii na kwamba walimpa nafasi Ya kugombea Urais kwa sababu tu ya Uropokaji wake kwa Magufuli.lakini ukweli ni kwamba Lissu hana uwezo wa kupanga hata mipango ya mtaa.

Na kwamba hata kama ingetokea amepita kwa bahati mbaya basi mipango yote ingesimamiwa na chama na yeye kuwa kama pambo au picha tu au RAIS kimvuli tu au Sanamu au kinyago cha kuchongwa.

Hivyo basi kwa kauli hizi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA imepelekea wananchi mbalimbali mitaani kujuta sana na kukatishwa sana tamaa na CHADEMA kwa kuiunga mkono siku za nyuma.wengi mitaani wanasema ya kuwa wanajuta na kujutia kupoteza muda wao kupanga foleni kumpigia lissu kura na CHADEMA yake ilihali kumbe hata chama kinafahamu ya kuwa alikuwa hana uwezo wa kuongoza. bali aliteuliwa kwa Uropokaji wake kwa Magufuli uliotokana na chuki binafsi.

Wananchi wanasema kwa sasa hawawezi kamwe kuiamini tena CHADEMA na kumpigia kura mgombea Urais wake kwa sababu chama kimeonyesha ulaghai na utapeli mkubwa sana wa kisiasa kwa kuwarubuni.wanasema pengine ndio maana Mbowe hakujihangaisha kumnadi lissu kwa sababu alikuwa anajua hana uwezo wa kuwa RAIS zaidi ya Uropokaji tu na mihemuko..

Wakarejea pia kilichotokea 2015 na kufikia hitimisho kuwa CHADEMA haijawahi kuwa na mipango wala mikakati ya kuandaa mgombea Urais wake.Ndio maana huwa wanafanya kuvizia wagombea kutoka CCM na kuwapa nafasi ya kugombea nafasi nyeti na za juu. Hapa mnaweza kukumbuka namna hayati Lowassa alivyopewa hadi ujumbe wa kamati kuu.hapo bado sijazungumzia upande wa Nyarandu na Mheshimiwa Frederick Sumaye ambao nao walipewa nafasi ndani ya CHADEMA.hii ni kwa kuwa chama kina ombwe kubwa sana la uongozi na uhaba wa watu wenye uwezo wa kuongoza.

Ndio Maana nasema ya kuwa RAIS Wetu kipenzi Daktari Mama Samia ana uwezekano mkubwa sana wakupita bila kupingwa hapo Mwakani.Sasa embu niambie wana jukwaa ni nani ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kugombea Urais na mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Hivi ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea Urais hapo Mwakani.Kwa sababu Lissu ambaye alikuwa anatazamiwa kugombea hapo Mwakani. Tayari viongozi mbalimbali wa CHADEMA wametamka wazi hadharani kuwa Lissu hana uwezo na hakuwa na sifa za kuwa RAIS Wa Nchi hii na kwamba walimpa nafasi Ya kugombea Urais kwa sababu tu ya Uropokaji wake kwa Magufuli.lakini ukweli ni kwamba Lissu hana uwezo wa kupanga hata mipango ya mtaa.

Hivyo basi kwa kauli hizi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA imepelekea wananchi mbalimbali mitaani kujuta sana na kukatishwa sana tamaa na CHADEMA kwa kuiunga mkono siku za nyuma.wengi mitaani wanasema ya kuwa wanajuta na kujutia kupoteza muda wao kupanga foleni kumpigia lissu kura na CHADEMA yake ilihali kumbe hata chama kinafahami ya kuwa alikuwa hana uwezo wa kuongoza bali aliteuliwa kwa Uropokaji wake kwa Magufuli uliotokana na chuki binafsi.

Wananchi wanasema kwa sasa hawawezi kamwe kuiamini tena CHADEMA na kumpigia kura mgombea Urais wake kwa sababu chama kimeonyesha ulaghai na utapeli mkubwa sana wa kisiasa kwa kuwarubuni.wanasema pengine ndio maana Mbowe hakujihangaisha kumnadi lissu kwa sababu alikuwa anajua hana uwezo wa kuwa RAIS.

Ndio Maana nasema ya kuwa RAIS ana uwezekano mkubwa sana wakipita bila kupingwa hapo Mwakani.Sasa embu niambie wana jukwaa ni nani ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kugombea Urais na mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura?

2025 jiandae kububujikwa na machozi
 
Kupita kwenyewe sasa..!
 
Attachments

  • FB_IMG_1712321234171.jpg
    FB_IMG_1712321234171.jpg
    46.6 KB · Views: 2

Baba yako angetumia mpira tusingepatwa na hiki kituko. Msitumie dola muone kama anashinda hata
 
2025 utalia mpaka machozi yakauke. Kunywa maji mengi machozi yatoke zaidi mpaka yakauke. Yakikauka itakuwa una uzito wa kilo 30 au 25
 
Jinga namba moja nchini. Kilaza la kwanza nchini na shetani la hovyo. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani.

Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea Urais hapo Mwakani.Kwa sababu Lissu ambaye alikuwa anatazamiwa kugombea hapo Mwakani. Tayari viongozi mbalimbali wa CHADEMA wametamka wazi hadharani kuwa Lissu hana uwezo na hakuwa na sifa za kuwa RAIS Wa Nchi hii na kwamba walimpa nafasi Ya kugombea Urais kwa sababu tu ya Uropokaji wake kwa Magufuli.lakini ukweli ni kwamba Lissu hana uwezo wa kupanga hata mipango ya mtaa.

Na kwamba hata kama ingetokea amepita kwa bahati mbaya basi mipango yote ingesimamiwa na chama na yeye kuwa kama pambo au picha tu au RAIS kimvuli tu au Sanamu au kinyago cha kuchongwa.

Hivyo basi kwa kauli hizi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA imepelekea wananchi mbalimbali mitaani kujuta sana na kukatishwa sana tamaa na CHADEMA kwa kuiunga mkono siku za nyuma.wengi mitaani wanasema ya kuwa wanajuta na kujutia kupoteza muda wao kupanga foleni kumpigia lissu kura na CHADEMA yake ilihali kumbe hata chama kinafahamu ya kuwa alikuwa hana uwezo wa kuongoza. bali aliteuliwa kwa Uropokaji wake kwa Magufuli uliotokana na chuki binafsi.

Wananchi wanasema kwa sasa hawawezi kamwe kuiamini tena CHADEMA na kumpigia kura mgombea Urais wake kwa sababu chama kimeonyesha ulaghai na utapeli mkubwa sana wa kisiasa kwa kuwarubuni.wanasema pengine ndio maana Mbowe hakujihangaisha kumnadi lissu kwa sababu alikuwa anajua hana uwezo wa kuwa RAIS zaidi ya Uropokaji tu na mihemuko..

Wakarejea pia kilichotokea 2015 na kufikia hitimisho kuwa CHADEMA haijawahi kuwa na mipango wala mikakati ya kuandaa mgombea Urais wake.Ndio maana huwa wanafanya kuvizia wagombea kutoka CCM na kuwapa nafasi ya kugombea nafasi nyeti na za juu. Hapa mnaweza kukumbuka namna hayati Lowassa alivyopewa hadi ujumbe wa kamati kuu.hapo bado sijazungumzia upande wa Nyarandu na Mheshimiwa Frederick Sumaye ambao nao walipewa nafasi ndani ya CHADEMA.hii ni kwa kuwa chama kina ombwe kubwa sana la uongozi na uhaba wa watu wenye uwezo wa kuongoza.

Ndio Maana nasema ya kuwa RAIS Wetu kipenzi Daktari Mama Samia ana uwezekano mkubwa sana wakupita bila kupingwa hapo Mwakani.Sasa embu niambie wana jukwaa ni nani ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kugombea Urais na mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura?

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hatapita bila kupingwa. Atapita kwa kupata asilimia 99.8 ya kura halali zitakazopigwa na kuweka rekodi ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Atawekwa kwenye Guinness book of records!

Sababu ya hilo kutokea ni hizi zifuatazo:
1. Kuna uwezekano mkubwa chadema hawatashiriki kwenye uchaguzi huo. Walishaahidi kuwa bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Katiba mpya haitakuwepi na wao hawana uwezo wa kuzuia uwepo wa uchaguzi, hivyo watajikuta wenyewe tu ndiyo hawatashiriki kwenye uchaguzi huo. Hakuna chama kingine cha siasa kitakachowaunga mkono kwenye uamuzi huo.

2. Hata kama kwenye dakika za mwisho wakaamua kushiriki kwenye uchaguzi huo, watakachokuwa wanatafuta ni nafasi za ubunge kwani malipo yake si ya mchezo, yaani TSH 18m kwa mwezi. Mbowe atagombea na kushinda ubunge wa jimbo la Hai. Halima Mdee atapangwa kugombea kiti cha urais akachuane na mwanamke mwenzake na ataambulia 0.1% ya kura zote

3. Vyama vya CUF na ACT wazalendo ndiyo vitakavyokuwa wapinzani wakubwa kwenye kiti cha urais. Kwa upande wa CUF Prof Lipumba ndiye atakuwa mgombea wakati kwa upande wa ACT wazalendo atakuwa ni yule mama ambaye kwa sasa ndiye kiongozi wa chama. Zitto Kabwe, yeye ni mjanja atagombea na kupita ubunge wa huko Kigoma ili apate hizo 18m kwa mwezi kwa miaka 5 plus kiinua mgongo cha 500m miaka mitano itakapoisha. Lipumba na huyo mama wa ACT wataambulia 0.1% ya kura za urais

1. Tundu Lissu na Godfrey Lema watakuwa wamesharudi kwao ughaibuni ambako walichachukua uraia wa huko. Lema tayari alishatangulia. Tundu Lissu anasubiri kwanza akinukishe atakapobwagwa vibaya sana na Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema hiyo tarehe 20 January 2025.

NB: CCM itawasaidia Mbowe na Zitto kushinda ubunge kwenye majimbo yao. Itahakikisha rais wa mabunge ya dunia anaendelea kuwa mbunge, hivyo huyo Sugu asahau kiti hicho. Wenje na Henche hakwaubaliki kwenye majimbo yao. Huyo Yai wa Ubungo watahakikisha hapiti. Hivyo jumla ya wabunge kutoka chadema kama watashiriki huo uchaguzi hawatazidi kumi. ACT wazalendo ukiacha wale wa kutoka Zanzibar hawatazidi wawili na wale wa CUF kutoa wa Zanzibar hawatazidi mmoja. Hivyo vyama vingine vilivyobaki vitapata sufuri. Wengi wa hilo kundi la covid 19 watapewa ubunge wa viti maalum kutoka chama chao cha chadema chini ya jemedari Freeman Aikel Mbowe ambaye ni kati ya wanafalsafa wanaoamini kuwa kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
2025, SSH hatakuwa mgombea.

Back
Top Bottom