Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
Na hicho ndicho wengi wanakifikiria vichwani na mioyoni mwao, kwamba jamaa wakikinukisha pale Mexico itakuaje?Bado mpaka Sasa Nina washangaa , Maana jamaa wale Carters wana influence kubwa Karibia majimbo 20 ya mexico unaambiwa watu waliandamana , what if wakiamua kukichafua siku ya hayo mashindano!?
Ila kutokana na influence ya USA na ubabe ubabe wake ni lazima tu mashindano yatafanyika
na inafahamika wazi kwamba,
influence ya wale ma cartels wa mihadarati ni kubwa mno katika maeneo mengi nchini Mexico, na wana silaha za kisasa mno za kujilinda, kitu ambacho kinatishia usalama wa mashabiki wengi ambao wanatafakari sana juu ya kucancel nia zao za kuhudhuria mashindano hayo,
US wakilazimisha,
ni wazi kwamba wa Mexico wachache na waMarekani wachache pekee ndio watahudhuria viwanjani kushuhudia michuano hiyo muhimu iliyogubikwa na kitisho cha usalama.