Trump ana balaa kale kazee kakatili kweli kazi kaliyonayo ni kumwaga dam tuu, naanza kuamini kweli Ile skendo ya trump Kula nyama za binadamu(watoto)walifanya kosa kubwa sana la kiufundi lililoamsha hasira za makundi na wafuasi wa walanguzi wa mihadarati ambalo kwa hakika limechochea pakubwa hali ya kuzorota kwa usalama kote nchini Mexico.
Mexico imekua kama DRC tu, kwamba Bukavu iko chini ya M23 na Kinshasa iko chini ya serikali
hali isiyotabirika wala kuaminika ya kiusalama nchini mexico na hata marekani itafanya wengi kuahirisha kuhudhuria michuano hiyo ya dunia
usalama Marekani ni mdogo sana,Trump ana balaa kale kazee kakatili kweli kazi kaliyonayo ni kumwaga dam tuu, naanza kuamini kweli Ile skendo ya trump Kula nyama za binadamu(watoto)
siku mbili waliua watu maelfu na kuwazika wote chapu chapuWapeleke vile vikosi vilivyoua waandamanaji vikatulize ghasia huko....
siku mbili waliua watu maelfu na kuwazika wote chapu chapuWapeleke vile vikosi vilivyoua waandamanaji vikatulize ghasia huko....
wEwe njaa zako ndio zinakufanya ujifyatue akili, dunia imeharibika ukiendekeza hiyo tabia yako siku ya siku watakupirapwagu na pwaguzi mnalishana matango pori kindezi sana aise,
kumbaf sana dah!![]()
Bc ukiwa na mada unganeni na wake zako muijadili wnyw, Au kaa na vikombe hapo kwako mujadilihakuna haja ya kujaribu kuhamisha mjadala gentleman
Michuano ya FIFA WORLD CUP ipo pale pale na ndiyo maana unaona Marekani kupitia Rais Trump ina uhakika kuwa ndani ya Wiki 4 hadi 5 kuanzia sasa itakuwa imeshamuangamiza vilivyo Kijeshi Iran, Uongozi wa Kidemokrasia kuingia na Iran haitokuwa Tishio tena kwa Ukanda wa Gaza, Mashariki ya Kati na Dunia kutokana na nia yake ya kuwa na Nyuklia.Sote tunafahamu kwamba,
michuano ya kombe la dunia imepangwa kufanyika kuanzia mapema mwezi June 2026. Lakini kutokana na hali ya kiusalama kudorora duniani, hasa ndani ya miongoni mwa nchi waandaaji na washiriki wa michuano hiyo, upo uwezekano mkubwa sana wa kuahirishwa kwa michuano hiyo, na kupangwa kufanyika wakati mwingine mahali pengine salama.
Kwa mfano nchi mwenyeji kama vile Mexico, makundi ya kihalifu na magenge ya walanguzi na wauzaji wa mihadarati yanahatarisha usalama wa nchi hiyo na serikali yake na hivyo kuzua hofu kubwa dhidi ya usalama wa wana michezo na mashabiki wa nchi mbalimbali duniani wanaopanga kwenda kushuhudia mashindano hayo nchini humo, na hivyo hali hii inaweza kuchochea mataifa mengi kusita kuingia Mexico au kususia kabisa michuano hiyo kuhofia usalama na uhai wao dhidi ya magenge hayo hatari sana ya kihalifu.
Kwa nchi nyingine mwenyeji kama Marekani, licha ya kua na kiwango cha juu sana cha teknolojia katika usalama, lakini bado kuna hofu ya matukio ya kigaidi kutokea kwa wingi ndani au nje ya viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo. Mbali na hilo, upo uwezekano mkubwa sana kwa nchi kama Iran kususia michuano hiyo, lakini pia upo uwezekano mkubwa sana kwamba Marekani inaweza kuwanyima timu ya Irani na mashabiki wa mataifa mengine vibali vya kuingia Marekani na hivyo kuvuruga ratiba ya FIFA na kupunguza mvuto wa michuano hiyo muhimu sana duniani.
Kama mshauri muhimu wa masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kitaifa na kimataifa,
Naishauri FIFA, endapo wataahirisha michuano hiyo mwaka huu kwa sababu hizo za wazi na za msingi kabisa, nadhani ni muhimu sana wailete michuano hiyo ichezwe katika ardhi ya Afrca Mashariki yaani Tanzania, Kenya na Uganda 2028, baada ya AFCON.
una maoni gani ndugu mdau wa JF na mpenzi wa mpira wa miguu?
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Michuano ya FIFA WORLD CUP ipo pale pale na ndiyo maana unaona Marekani kupitia Rais Trump ina uhakika kuwa ndani ya Wiki 4 hadi 5 kuanzia sasa itakuwa imeshamuangamiza vilivyo Kijeshi Iran, Uongozi wa Kidemokrasia kuingia na Iran haitokuwa Tishio tena kwa Ukanda wa Gaza, Mashariki ya Kati na Dunia kutokana na nia yake ya kuwa na Nyuklia.
Usichokijua au Msichokijua cha muhimu ni kwamba Marekani na Mshirika wake mkuu Kivita Israeli hawakukurupuka na hivi Vita vya sasa bali walishajipanga kuanzia Kijeshi, Kimkakati, Kiitelijensia na hadi Madhara yake hivyo wanachokifanya sasa wanajua, wamejipanga nacho na wana uhakika nalo.
Na mpaka sasa kama unafuatilia Uchambuzi wa Wataalam wa Kivita, Kidiplomasia na Kiintelijensia duniani kupitia Aljazeera World News wamasema Iran inaanza Kuzidiwa Kijeshi na Kisilaha kwani hii Vita imekuja kwa Mshtuko kwao wakati Maadui zao Marekani na Israeli walishajipanga nayo takribani Miezi Tisa iliyopita.
Kingine kinachoenda au kilichomuangusha Iran japo kwa sasa anajifanya Kujitutumua Kivita ni Washirika wake Wakuu Urusi na China kutoingia moja kwa moja katika hii Vita na wanachokifanya kikubwa ni kumsaidia tu Iran Kiitelijensia.
Na kitendo cha Marekani, Israel, Uingereza na Ufaransa kwa pamoja kudhibiti njia Kuu za Bahari huku Marekani ikiwa imeshazamisha Meli karibia 17 za Kijeshi za Iran kumefanya Urusi na China sasa kushindwa kuisaidia Iran kwa Silaha nzito kwakuwa Bahari Kuu ya kuingia Iran kuna Melivita Kubwa za Marekani na Nyambizi zinapiga Doria ya maana.
Jiandae kwa Kombe la Dunia la mwaka huu ambapo Marekani ni mmoja wa Waandaaji na hakutakuwa na Madhara yoyote yale ya Kiusalama kutokana na huu Mzozo unaoendelea sasa.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimemaliza.