Na hicho ndicho wengi wanakifikiria vichwani na mioyoni mwao, kwamba jamaa wakikinukisha pale Mexico itakuaje?Bado mpaka Sasa Nina washangaa , Maana jamaa wale Carters wana influence kubwa Karibia majimbo 20 ya mexico unaambiwa watu waliandamana , what if wakiamua kukichafua siku ya hayo mashindano!?
Ila kutokana na influence ya USA na ubabe ubabe wake ni lazima tu mashindano yatafanyika
uko sahihi gentleman,Hii ni moja ya world cup za hovyo mpaka sasa hakuna vibe ya world cup kabisa na wakati umebaki muda mdogo sana.
Trump Yuko busy anawaza mavita tu so do you think hiyo motivation itatokea wapi !? πHii ni moja ya world cup za hovyo mpaka sasa hakuna vibe ya world cup kabisa na wakati umebaki muda mdogo sana.
Porojo hapo n ipijikite kwenye hoja mahususi mezani bila porojo gentleman,
Yes,Walete mashindano ya World Cup East Africa? kwa influence ipi labda?!
Sahihi.uko sahihi gentleman,
inaonekana wazi hakuna vibe za world cup kabisa badala yake kuna promo za vita tu, mapigano na mauaji kwenye nchi wenyeji wa mashindano hayo,
haijulikani akina nani wataenda kwenye nchi zenye fujo vile
Si ajabu akaipiga ban timu ya taifa la Iran isitie timu U.S au Iran wao wenyewe wakajiondoaTrump Yuko busy anawaza mavita tu so do you think hiyo motivation itatokea wapi !? π
I just believe itakuwa ni kweli wame -mblack Mail Kwa mafile ya Epstein , cause katika wakati necessary kama huu kwaajili ya kuandaa hiyo tournament inawezakanaje yeye aliingize Taifa vitani !?
Tanzania haijawahi kufanya kosa wakati wowote na ndio maana inaendelea vyema na maandalizi ya AFCON,Nyie hamkufanya kosa la kiufundi October 29, na mkijua mnaandaa AFCON???
sasa hebu tazama,Sahihi.
Marekani ana vita na Iran, ana mkoromea Spain, anataka kuikwapua Greenland, Kamkamata Rais wa Venezuela kiharamia, kaua kiongozi wa kidini wa Iran, ana tishia kuikwapua Canada na kufanya moja ya jimbo lake yaani vurugu tu.
Huku Mexico ana matatizo ya vurugu za makundi ya dawa za kulevya.
Iran Hawa wezi kwenda USA MzeeSi ajabu akaipiga ban timu ya taifa la Iran isitie timu U.S au Iran wao wenyewe wakajiondoa
Acha basiii ππYes,
nashauri wailete Afrca Mashariki kwasababu,
moja kuna usalama na amani ya kutosha, lakini pili kuna fursa za utalii na maeneo mazuri mno ya mapumziko kwa wachezaji na mashabiki wa michuano hiyo.
zaidi sana,
tayari tunayo miundombinu muhimu ya michezo, hoteli bora zaidi za kutosha wageni na wenyeji wa michuano hiyo, hali ya hewa nzuri na yakumvutia na kumfurahisha kila atakae kuja Africa Mashariki,
kwa uchache hizo ni influence factors chache muhimu ambazo nadhani zinafaa kuzingatiwa ili hatimae michuano hiyo kuletwa na kufanyika Africa Mashariki gentleman,
Sio kwa jamii ile...Wapeleke vile vikosi vilivyoua waandamanaji vikatulize ghasia huko....
Hii ni sauti ya ndani, wala si ramli.hongera kwakua na imani na ramli potofu gentleman
Halafu anagongea kahawa. Unakumbuka ule wimbo wa Prof Jay promota ana-beep.Mchambuzi wa masuala ya michezo kutoka kijiwe cha Gahawa, Bunju B.
ππHalafu anagongea kahawa. Unakumbuka ule wimbo wa Prof Jay promota ana-beep.