Kuna uwezekano mkubwa sana michuano ya WORLD CUP kuahirishwa

Mchambuzi wa masuala ya michezo kutoka kijiwe cha Gahawa, Bunju B.
ikiwa uko pointless unakaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kumbwelambwela na nonsense jukwaa, right?
 
Trump ana balaa kale kazee kakatili kweli kazi kaliyonayo ni kumwaga dam tuu, naanza kuamini kweli Ile skendo ya trump Kula nyama za binadamu(watoto)
 
Kuna jamaa pembeni hapa nimemsikia wanasema hata wakiahirisha sisi tuna Samia Cup eti
maoni na mtazamo wake huru na muhimu san kwa maendeleo ya mchezo wa mpira gentleman, ama wewe ulijiskiage?
 
Trump ana balaa kale kazee kakatili kweli kazi kaliyonayo ni kumwaga dam tuu, naanza kuamini kweli Ile skendo ya trump Kula nyama za binadamu(watoto)
usalama Marekani ni mdogo sana,
unakumbuka nae TRUMP alichapwa risasi ya sikioni ingawa gaidi alitamani kumfumua ubongo?
amekoswakoswa pia zaidi ya mara3, unadhani wakati wa michuano ya kombe la dunia Marekani watamuacha?

lakini pia watakaothubutu kujikusanya marekani itakua ni shabaha muhimu ya magaidi hasa wa irani na wale wa hamas kutumia fursa hiyo kulipiza kisasi kwa hatua nonsense sana za kuangamiza wasio na hatia.

ama unaonaje?
 
Acha basiii 😄😄

Kwa muaji yale ya Dec 29 wazungu hawawezi kuleta team hata Kwa bakora
magaidi hawatavumiliwa hata kwa sekunde moja gentleman
 
Wapeleke vile vikosi vilivyoua waandamanaji vikatulize ghasia huko....
siku mbili waliua watu maelfu na kuwazika wote chapu chapu
pwagu na pwaguzi mnalishana matango pori kindezi sana aise,

kumbaf sana dah!
wEwe njaa zako ndio zinakufanya ujifyatue akili, dunia imeharibika ukiendekeza hiyo tabia yako siku ya siku watakupira
 
siku mbili waliua watu maelfu na kuwazika wote chapu chapu

wEwe njaa zako ndio zinakufanya ujifyatue akili, dunia imeharibika ukiendekeza hiyo tabia yako siku ya siku watakupira
tuliza nonsense gentleman
 
Michuano ya FIFA WORLD CUP ipo pale pale na ndiyo maana unaona Marekani kupitia Rais Trump ina uhakika kuwa ndani ya Wiki 4 hadi 5 kuanzia sasa itakuwa imeshamuangamiza vilivyo Kijeshi Iran, Uongozi wa Kidemokrasia kuingia na Iran haitokuwa Tishio tena kwa Ukanda wa Gaza, Mashariki ya Kati na Dunia kutokana na nia yake ya kuwa na Nyuklia.

Usichokijua au Msichokijua cha muhimu ni kwamba Marekani na Mshirika wake mkuu Kivita Israeli hawakukurupuka na hivi Vita vya sasa bali walishajipanga kuanzia Kijeshi, Kimkakati, Kiitelijensia na hadi Madhara yake hivyo wanachokifanya sasa wanajua, wamejipanga nacho na wana uhakika nalo.

Na mpaka sasa kama unafuatilia Uchambuzi wa Wataalam wa Kivita, Kidiplomasia na Kiintelijensia duniani kupitia Aljazeera World News wamasema Iran inaanza Kuzidiwa Kijeshi na Kisilaha kwani hii Vita imekuja kwa Mshtuko kwao wakati Maadui zao Marekani na Israeli walishajipanga nayo takribani Miezi Tisa iliyopita.

Kingine kinachoenda au kilichomuangusha Iran japo kwa sasa anajifanya Kujitutumua Kivita ni Washirika wake Wakuu Urusi na China kutoingia moja kwa moja katika hii Vita na wanachokifanya kikubwa ni kumsaidia tu Iran Kiitelijensia.

Na kitendo cha Marekani, Israel, Uingereza na Ufaransa kwa pamoja kudhibiti njia Kuu za Bahari huku Marekani ikiwa imeshazamisha Meli karibia 17 za Kijeshi za Iran kumefanya Urusi na China sasa kushindwa kuisaidia Iran kwa Silaha nzito kwakuwa Bahari Kuu ya kuingia Iran kuna Melivita Kubwa za Marekani na Nyambizi zinapiga Doria ya maana.

Jiandae kwa Kombe la Dunia la mwaka huu ambapo Marekani ni mmoja wa Waandaaji na hakutakuwa na Madhara yoyote yale ya Kiusalama kutokana na huu Mzozo unaoendelea sasa.

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimemaliza.
 
Gentleman,
uwezekano wa matukio ya kigaidi na kujitoa muhanga uwanjani au kwenye makusanyiko ya mashabiki wa michuano hiyo ni mkubwa na hivyo kuongeza na kuzidisha hofu kwa mashabiki kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni kufikiria kuahirisha kuhudhuria michuano hiyo.

ni wazi,
kombe la dunia 2026 Mexico na Marekani litazorota sana na kwakweli litahudhuriwa na mashabiki kidunchu sana kwasababu za kiusalama.

Mzozo unaoendelea unazalisha magaidi katili zaidi wa kujitoa muhanga duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…