Kuna uwezekano mkubwa Simba kuanzia hatua ya pili Champion League msimu ujao

Kuna uwezekano mkubwa Simba kuanzia hatua ya pili Champion League msimu ujao

Nafasi ya pyramids anaichukua nani?
Msimamo mpaka sasa

) Al Ahly point 73
2) Esperance point 58
3) Wydad point 56
4)Raja point 54
5)Mamelod point 46
6) Zamalek point 43
7) Berkane point 39
8) Tp Mazembe point 38
9) Pyramid point 34
10)Pdtro luanda point 33
11) Etoil du Sahel point 32
12) Horoya point 31
13) Setif point 28
13) Simba point 28
14) Orlando pirates point 27

Kwenye huo msimamo mpaka sasa kuna timu mbili ambazo ni ngumu kufuzu champions league msimu ujao nayo ni Berkane na ya pili ni timu mojawapo kati ya Pyramid, Al Ahly au Zamalek. Hivyo nafasi za timu hizo mbili zitachukuliwa timu inayoshika nafasi ya 11 na timu inayoshika nafasi ya 12.

N..B
1) Ligi ya Tunisia ambayo inatokea timu ya Etoil du Sahel na Esperance bado ni 50/50 timu zote mbili kuweza kufuzu, inaweza ikatokea wote wakafuzu au mmoja wapo au wote wasifuzu.

2) Setif ambaye analingana point na Simba, kwenye ligi yao bado hajawa na guarantee ya kufuzu kwasababu anashika nafasi ya tisa kaachaa point 10 na anayeshika nafasi ya pili japokuwa ana advantage ya viporo viwili. ili Setif wapate zari endapo mtunisia mojawapo atachomoka, itaibidi ahakikishe anashika nafasi ya pili kwenye ligi yao ama lah achukue kombe la klabu bingwa
 
Back
Top Bottom