View attachment 1409356Tunafanya mzaha na hii kitu.....
Watu wanashindwa kuelewa kwa nini WHO UN wanasema worst to come kwa Africa
Ni hivi walio hatarini na huyu virus ni Wagonjwa wa HIV/AIDS TB CANCER na magonjwa mengine yenye kupunguza kinga za mwili
Africa imeathirika sana na Ukimwi TB sasa Cancer imekuwa tishio hapa ndio shida itakapoanzia. ARV haitaweza kuwalinda tena endapo utakumbwa na virusi
Rejea kwa taarifa za wale tuliokwishawapoteza na kirusi hiki walikuwa na underlying medical condition iliyowapelekea kupoteza maisha fasta.
Tuwe wasikivu hata kwa sekunde!
Shida ni uelewaHalafu msikilize mkuu wa mkoa mmoja anavyoropoka View attachment 1409356View attachment 1409357
Jr[emoji769]
Mkuu ingependeza ukaweka uthibitisho wa idadi ya wagonjwa uliowataja ili wenye mioyo migumu nao waelewe na wajihami kwa nguvu zote.Shida ni uelewa
Tutazikana sana
Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 100000+ ndani ya Tz.
Let's wait na see
Wenye kuropoka ni miongoni mwa hiyo number
Viongozi waliyowakabidhi wananchi wao kwa Mungu kamwe corona haitawasumbua sana. Lakini viongozi wanajifanya kusimamia corona kwa uwezo wao WATAPATA TABU SANAKwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
naweza kukubaliana na wewe,mi january niliugua karibu nife,lakini hata Mama yangu kijijini naye alikuwa hoi kipindi kama hicho,yani hapa nilipo katika jamaa zangu kumi,unakuta 7 wana mafua na vikohozi.Wewe piga kazi, ugonjwa upo tangu disemba mwaka Jana watu wanapona wenyewe.
Toka uzingue utabiri wa Yanga vs Simba tabiri zako siziamini tena [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo kuna siku nitashinda njaa na wanangu, halafu nitakuwa nakaangalia haka katoto kangu kakilia maana baba na mama tumezuiwa kutoka na siye tutakachokula kesho tunakitafuta leo? Matokeo ya Uchaguzi na mengine ya kijamii yanavumilika ila siyo NJAA... Labda iwe PARTIAL kama Kenya.