Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Fala wewe, mnakuja kubana pua jukwaani kama mapunga, eti a week to goo..., nilikuwa napata hasira sana watu type ya akina Mange kimavi na wenzako mlivyotaka kutupanikisha kwa mambo ya kixhenxi kabisa!
Hawa mamburura ndio think tanks za chadomo lakini kiuhalisia ni sewage tanks 🚮🚮🚮🚮🚮
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?
dah mkuu, hiyo message yako ni nzito sana kwa mtu mwenye akili lazima ajihisi ni mkosefu sana kwa kutumia wino vibaya, lakini kwa hawa wenzetu wazee wa itikadi.

usitegemee majuto ya aina yoyote.
 
Citizen Radio Representative anabwabwaja huko barabarani bila Barakoa ha ha ha. Mwaka huu wananchi wamewastukia hampati kura hata 100. Wananchi wameona maendeleo kwa muda mfupi ya nin wapoteze muda na mawakala wa nchi jirani?
**KQ vipi isharuhusiwa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…