Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hiyo si tahadhari.Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?
Ni hamaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo si tahadhari.Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?
Nilikuwa natamani hata niwakate vibao kama wangekuwa mbele yangu, hasa kale ka Mange kimaviWamekatwa ngebe sasa hivi hawazungumzi.
Walikuwa wanakera mno hawa wajuaji wasiojua kitu!
Huu uzi ulijaa’wataalamu’ na wanajimu wa kila aina.[emoji1787]
Kuna radio naskiaga hii vibes..jamni hua nachekaaaaa😆😆😆..rockdown🤸🤸🤸Hakuna cha rockdown wala baba yake rockdown wala shangazi yake na rockdown 🤣
Hawa mamburura ndio think tanks za chadomo lakini kiuhalisia ni sewage tanks 🚮🚮🚮🚮🚮Fala wewe, mnakuja kubana pua jukwaani kama mapunga, eti a week to goo..., nilikuwa napata hasira sana watu type ya akina Mange kimavi na wenzako mlivyotaka kutupanikisha kwa mambo ya kixhenxi kabisa!
🚮🚮🚮🚮🚮🚮Kuna jirani yangu pamoja na familia yake walikwenda Ngorongoro na mlima Kilimanjaro kwa zaidi ya mwezi mzima tangu mwanzoni mwa Februaryu hadi katikati ya March. Ilikuwa ndiyo mara yao ya kwanza kufika Tanzania, na kweli walifurahi sana; sasa hivi wanapanga kuwa wanakwenda kila mwaka. Walisema kuwa safari yao yote tangu mwanzo mpaka mwisho, ni Tanzania tu walipopimwa joto uwanja wa ndege kabla ya kuruhusiwa kuingia nchini, na hiyo ni February. Baada ya likizo yao waliporudi, waliingia Marekani bila kupimwa lolote, yaani mwezi wa tatu kabla Trump hajafunga anga. Inawezeka zile hatua za awali za kuwapima wageni wote waliokuwa wanaingia Tanzania zilisaidia kwa kiasi fulani.
Hata hivyo serikali inatakiwa isiseme kuwa Tanzania hakuna korona kabisa, bali iendelee kuwahimiza wananchi kuchukua hatua za kujikinga na korona; yaani social distancing, matumizi ya barakoa kwenye hadhara ya watu wengi, na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni. Hakuna haja ya lockdown.
🤣🤣🤣🤣Hawa ndo watabiri wa kusema Chadema itashinda uchaguzi kwa kishindo
dah mkuu, hiyo message yako ni nzito sana kwa mtu mwenye akili lazima ajihisi ni mkosefu sana kwa kutumia wino vibaya, lakini kwa hawa wenzetu wazee wa itikadi.Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?
Msemaji mwenyewe zimefyatuka.Radio Citizen imepata msemaji nchini
Yaani walikuwa wanakera kweli, waliombea watu wengi wafe kwa corona ili wapate umaarufu wa kisiasa.Nilikuwa natamani hata niwakate vibao kama wangekuwa mbele yangu, hasa kale ka Mange kimavi
Kazi unayo mzee mwenzangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyongo zinatoka kwa kasi ya 4G[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa Ubelgiji hakuwemo kwenye hiyo Marathon?Leo nimeshiriki CRDB marathon. Wale washiriki nikiwemo mimi hakuna hata mmoja alievaa barakoa, kwa jinsi mambo yalivyoendelea pale ni kama hakuna Corona.