My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Unajua watu wanakuandama kwa sababu uliandika kitu usichokijua na bahati mbaya hujui kama hukujua, to-date bado hujui kama ulichoandika hukukijua. Mstaarabu akivuliwa huchutama.
hata ukitukana hakubadili uhalisia wa namna magufuli alivyouburuza ulimwengu dhidi ya corona
Unawapa watu tahadhari bila takwimu? Nitoke tu asubuhi niseme jamani nunueni vyakula, maji na kuweka fedha za kutosha coz "huenda" kukawa na lockdown? Tahadhari zingine hazitolewi na mtu kwa utashi binafsi, you need to gather facts and figures beforehand, tofauti na alichofanya Mshana, yeye katoka huko kaja na tahadhari isiyokuwa na vigezo, ni lazima watu wamshukie.Mbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] ....unajua wanajitoa ufahamu na wamepata pa kutolea stress zao hivyo tuwaache tu kakaMbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !
Mbona hii topic ya Mshana Jr iko wazi sana alikuwa anajaribu kutupatia tahadhari za kuchukua maana kulikuwa na dalili tungeingia ktk lockdown. Kuna baadhi ya watu vichwa vizito sana kuelewa au mna mambo binafsi dhidi ya mshana. Hii covid 19 tumepona kwa bahati tu tupunguze majivuno kuna waliopoteza maisha labda namba ni ndogo kulinganisha sehem nyingine
Kazini kwangu watu zaid ya 6 majibu yalisoma +ve na mmoja wapo aliugua almanusura akate kamba , Mimi nilikataa kupimwa !
Teh teh, hawa wengi wanatokea Ufipa. Usishangae...Alishasema hajakosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tz kuna mambo ya ajabu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbele kwa mbele
2020
💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚
Mungu wangu mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umechemsha sasa
Yaani huko ufipa kumbe wana genge la kupika vichaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh teh, hawa wengi wanatokea Ufipa. Usishangae...
Nadhani si sahihi kusema haipo.Kwa lugha rahisi ni hivyo Corona Covid 19 HAKUNA Tanzania
Kwanini Hatukuweza kukaa lockdown kama ulivyo Sema Mzee mshana ??[emoji23]
jibu ni kwamba HAKUNAMtafute mdogo wako hapo atakutajia
Usinichoshe[emoji57]
Wewe Ni kipofu?jibu ni kwamba HAKUNA
Itakuwa tu ni mafua makali ambayo yanachemsha kwa muda lakini baadaye mtu unakuwa freshNadhani si sahihi kusema haipo.
Mimi naamini ipo.
Na pengine hata wewe ukienda kupimwa wanaweza kuikuta unayo.
Lakini waweza kuwa nayo na wala usiwe mgonjwa.
Na karibu asilimia 99 ya wanaoipata, wanapona.
Na wengi wa hao wanaoipata wala huwa hawaumwi kivile.
Na ndo maana umeona hata majuzi hapa Rais Trump alikutwa nayo na sasa keshapona na yuko fiti kabisa licha ya kuwa na unri
Mke wake, Melania Trump naye alikutwa nayo lakini hata spitali hakwenda.
Hata yule Rais wa Brazil, Bw. Bolsonaro naye aliipata na wala hakuwa mgonjwa.
Waziri mkuu wa Urusi naye aliipata. Hakuugua sana. Alipata vijimafua tu na vikapona vyenyewe.
Ndo maana mimi msimamo wangu kwa muda wote huu umekuwa kwamba, Corona si ugonjwa hatari kama ulivyotangazwa.
Mi mwenyewe hapa nahisi nilishaupata. Niks kojoa kwa siku mbili tatu, baadaye nikaanza kubanja, hatimaye nikapona. Hata wiki haikuchukua.
Ina maana Magufuli anavyosema ugonjwa haupo Tanzania ni muongo ?Nadhani si sahihi kusema haipo.
Mimi naamini ipo.
Na pengine hata wewe ukienda kupimwa wanaweza kuikuta unayo.
Lakini waweza kuwa nayo na wala usiwe mgonjwa.
Na karibu asilimia 99 ya wanaoipata, wanapona.
Na wengi wa hao wanaoipata wala huwa hawaumwi kivile.
Na ndo maana umeona hata majuzi hapa Rais Trump alikutwa nayo na sasa keshapona na yuko fiti kabisa licha ya kuwa na unri
Mke wake, Melania Trump naye alikutwa nayo lakini hata spitali hakwenda.
Hata yule Rais wa Brazil, Bw. Bolsonaro naye aliipata na wala hakuwa mgonjwa.
Waziri mkuu wa Urusi naye aliipata. Hakuugua sana. Alipata vijimafua tu na vikapona vyenyewe.
Ndo maana mimi msimamo wangu kwa muda wote huu umekuwa kwamba, Corona si ugonjwa hatari kama ulivyotangazwa.
Mi mwenyewe hapa nahisi nilishaupata. Nikakohoa kwa siku mbili tatu, baadaye nikaanza kubanja, hatimaye nikapona. Hata wiki haikuchukua.
Utasemaje ugonjwa haupo?Ina maana Magufuli anavyosema ugonjwa haupo Tanzania ni muongo ?