mke wa alikiba hahhahahaMmeshaandaa Videmu Vyenu vya Kujifungia Navyo ndani bas Mnaombea Lockdown kwa nguvu zote kwa kujifanya mnatabili kwa kutisha Watu..
Wiki moja Lockdown kwa Tanzania ni mateso makubwa kwa 95% ya wananchi
Kwa tanzania haitawezekana labda kwa masaa
Kwetu sidhani mkuu,tumeona majirani serikali imemsaidia corona kuua raia wake,tuendelee kujikinga kwa kadiri inavyowezekana na kujiepusha kukaa kwenye misongamano,pia kama hauna issue ni bora kutulia home kama mimi ninavyofanya leo.Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka hakiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Teh watanzania tulivyo matapeli kuna kaya zitapata milioni kumi na zingine zitaambulia patupu
Tutakufa na kirusi cha njaa kabla ya virus vya corona
Hivi afrika si wa hapa kwangu pakavu tia mchuzi ndio tunataka kuiga njia za kutatua tatizo wanazotumia wenzetu wenye uchumi uliosimama naona kama tunatafuta majanga zaidi
Kwetu sidhani mkuu,tumeona majirani serikali imemsaidia corona kuua raia wake,tuendelee kujikinga kwa kadiri inavyowezekana na kujiepusha kukaa kwenye misongamano,pia kama hauna issue ni bora kutulia home kama mimi ninavyofanya leo.
macson