Kwa Tz ikipigwa full lockdown ni hatari, labda iwe Partial lockdown.
Wa lockdown baadhi ya miji mfano: Dar (K'Koo, Kituo cha mabasi ya kwenda mikoani pale Ubungo, mabasi ya mwendo kasi na dala dala) hali inatisha tufanye lockdown walao ya wiki tatu ili tujuwe hali alisi hiko je hapa Dar - muda huo unatosha kubaini watu wote walio ambukizwa corona bila ya wenyewe kujijuwa - lockdown ndio njia sahihi ya ku-monitor maambukizi mapya kwa karibu, sioni njia nyingine mbadala - tusichelewe kutekeleza suala hili muhimu, watanzania tuliwahi kupitia wakati mgumu tulipo pigana vita na Iddi Amini, sioni kama tunaweza kushindwa kuvumilia walao mwenzi mmoja wa lockdown, Uchina alifanya lockdown ya mji wa Huwan na jimbo zima la Hubei, Baadhi ya miji Ujerumani na Amerika wanatekeleza zoezi hilo.
Njia nyingine ni ya kudhibiti virus vya Corona ni kufanya zoezi la kupima wakazi wote wa miji mikubwa ili kujua status zao kiafya, tatizo ni gharama za zoezi zima lakini Urusi imekwisha manufacture test kit inayo chukua muda mfupi kutoa majibu, ndani ya dakika tano unajua status yako kama huko infected unapewa dawa
mapema ya kudhibiti virus notably mseto wa vidonge vya chloroquine phosphate/hydroxychloroquine na azithromycine na kwa wale ambao wamefikia advanced stage ya ku develop nyumonia wanaongezewa vidonge vya broad spectrum antibiotics aina ya ceftriaxone - si mchezo mseto wa dawa hizo unatibu zaidi ya 97% ya wagonjwa - mseto huo wa vidonge ndio utakuwa mwarobaini wa kudhibiti na kutibu Coronavirus infection wakati Dunia ikisubilia chanjo ambayo inaweza kuchua mwaka kabla haija pewa kibali cha kutumiwa.
Ufaransa imeanza kutumia mseto wa dawa hizo baada ya kuzifanyia utafiti wa kutosha na kujiridhisha kwamba ziko effective, Uchina vile vile imetumia mseto huo kuwatibu waanga wa Corona, juzi juzi hapa ingawa Amerika ilikuwa inapinga kutumika kwa mseto huo lakini Juzi Trump amekubali mseto huo utumike kuokoa watu.
Tukirudi kwenye zoezi la lockdown, China ndio ilikua nchi ya kwanza kutekeleza zoezi hilo huko Wuhan Hubei, nasikia na Ujerumani wamefanya hivyo nadhani na Merikani kama sikosei - bottom line is: zoezi la lockdowm si la kupuuzia.
Revisiting dawa za mseto - Nta fafanua zaidi kuhusu matumizi ya mseto lakini watu wasikimbilie madukani kununua dawa hizo bila ya ushahuri wa Daktari kwa kuwa watu wengine dawa hizo zinawadhulu, wengine umeme unao ongoza mapigo ya moyo unaweza kuathirika mpaka kufikia hatuwa kusimamisha mapigo ya moyo - lakini mgonjwa akiwa hospitalini ni raisi kumu monitor na kuchukuwa hatua stahiki kabla mambo haja haribika including kusitisha dawa zenyewe inapo bidi.