42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Kuna kitu watu wengi mnajidanganya. Mnasema ni bora kufa kwa corona kuliko kufa kwa njaa.70% ya watanzania tunaishi maisha ya ndege yaani tukishakwisha amka asubuhi hatujui leo rizki inatoka wapi .Sasa watupige hiyo LOCK DOWN si ndo watasababisha vifo vingi vya njaa kuliko ambavyo vingesababishwa na huyo covid19
Wewe na wenzako wenye mindset kama yako mkae mkijua kwamba moja ya masharti ya mtu anayeumwa Covid 19 ni kurest.
Ukishaumwa hiyo corona kuendelea kufanya kazi zako itakuwa ni kukitafuta kifo chako kwa kasi.
Hapo ndipo tutakapopukutika kama kuku wenye kideli.