Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Ugonjwa siyo wetu Ngozi nyeusi ila tunavyojipendekeza ili tuhusike nao tu!!!!!

Muda bado tunao wa KUOSHA DHAMBI ZETU na kuvaa Matendo mema.
Muda ndiyo huu tunaopewa kuabudu. Tuutumie kumwomba Mungu atusaidie.

Tujue wanaokufa ni binadamu kama sisi nao wanapenda kuishi kama sisi.

Kuna akili kubwa na nguvu kubwa zaidi ya binadamu inayotakiwa kuudhibiti huu ugonjwa. Maana tayari wanadamu wameshashindwa.

Lock down Italy, Spain and USA lakini bado hali si shwari!
Think about Tz!
tapatalk_1584950967024.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuige kenya wao hawatoki usiku tu na wamezuia watu kutoka na kuingia nairobi. Lockdown hapa kweli itakuwa na madhara makubwa kuliko corona yenyew
Ondoa wasiwasi corona ni mtz Hana tatizo na sisi...
HOFU NDO ITAWAUA.
Sisi tuna wagonjwa 20 bado watu wanapiga kelele..JE tungekuwa nao 100?.
Screenshot_20200404-103738.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika ni kubwa kuna nchi zipo kwenye lockdown ninavyotype.
Kweli mkuu, nimelisahau hili namaanisha kwa baadhi ya nchi ni ngumu kama hii yetu hatuwezi total labda partial lockdown
 
unaongea na viongozi ama watanzania wa hali ya chini?, watanzania tulio wengi hatuna pesa ya kununulia chakula cha kuweka ndani kama akiba, tunapata papo kwa papo na kutumia ndio maisha tuliyoyazoea, ukizuia kutoka nje leo ujue kuanzia leo unasababisha watu wakae na njaa na wale wepesi wanakufa kabisa kuanzia siku hiyohiyo usije singizia ni kifo sababu ya virusi vya CORONA lahashaa!!

sasa nakemea kwa sauti yangu ya kinabii hiyo kauli yako kwamba kusiwepo lockdown ndani ya nchi ya Tanzania hadi pale ugonjwa utakapoishia kwa JINA LA YESU ameeeen!
 
Wakati tukiwa busy baadhi yetu kuibeza hii hoja... Bado nakumbusha umuhimu wa kufanya maandalizi

Jr[emoji769]
 
Ukiachana na Quarrantine, Taja njia nyingine ambayo imewahi kutumika na kupelekea kupungua kwa cases mpya za Covid-19. Na hiyo njia ilitumiwa na nchi gani?
Kuachapa kazi na kuacha kutishana....nchi fulani ina wagonjwa 15!
 
Total lockdown ni impossible kwa mazingira yetu na viongozi wanafahamu hilo..
Solution ni kufunga biashara zote ambazo sio vital kwa survival kama maduka ya hardware ,maduka ya vyombo ,maduka ya simu n.k then waache maduka ya vyakula na maduka ya madawa tu..
Wakifanya hivyo watapunguza idadi ya watu wanaotembea tembea hovyo.
Wewe utakuwa umeajiriwa. Maanake huoni shida biashara za wenzio kufungwa kwasababu una uhakika mwisho wa mwezi.
 
Kaama unapenda lock down panda basi uende kenya, au panda ndege uende spain au italy. utafaidi tu!
 
MashaAllah
Tutakufa na kirusi cha njaa kabla ya virus vya corona
Hivi afrika si wa hapa kwangu pakavu tia mchuzi ndio tunataka kuiga njia za kutatua tatizo wanazotumia wenzetu wenye uchumi uliosimama naona kama tunatafuta majanga zaidi
Unastahili kuwa bungeni kwa milele...
We need pipo like you
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom