Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Wewe utakuwa umeajiriwa. Maanake huoni shida biashara za wenzio kufungwa kwasababu una uhakika mwisho wa mwezi.
Sina ajira yyte.. mimi mwenyewe ni daywaka tu.. lakini tusipo controo movement ya watu hata buku buku tunazopata kwa siku tunaweza kuzikosa mazima kabisa.
 
Haya mawazo ya ajabu ajabu yanatoka wapi aseee? Hali tu sa hv haifai, vitu vimeshapanda sana bei hyo lockdown naona km kuna watu wanaitaman sanaaaaa!

Achen hizo makitu aiseee, Nchi itaendelea kusonga mberee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikri wafungie mikoa ambayo tayari imesharipoti wagonjwa! Hakuna kutoka wala kuingia kwenye mkoa huko! Mgeni akionekana atolewe taarifa haraka au awekwe quarantine haraka sana! Wananchi tuwe walinzi!
Kaka hii ngoma iko Dar na nyie wa mikoani ndio mnajileta wenyewe Dar. Sasa kaeni vikao muamue kama mnaweza kuishi bila kuja Dar kuchukua mahitaji yenu.
 
Lockdown ndio njia sahihi ya kukabiliana na janga hili, lakini hatuna uwezo wa kulitekeleza. Tunaishi katika umasikini wa kutupa, wengi tunaishi hand to mouth. Majanga ya tetemeko, mafuriko na njaa katika maeneo machache serikali inashindwa kutoa misaada na kuishia kuambiwa serikali haina mashamba nk. Matamko ya kumkimbilia Mungu au hatuta copy na ku paste, ni janja ya sungura ya 'sizitaki mbichi hizo'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Tusiige tu bali tuangalie je hyo njia imesaidia kupunguza maambukizi? Kumbuka kabla ya hyo half lock walikuwa na wagonjwa 15+ after action ndio wameongezeka na kuwa 120+

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi ndugu,lengo kuu la lockdown ni kujua idadi ya wagonjwa. Ukifungiwa ndani kwa muda wa wiki 2 kama virusi viko mwilini utaugua utazidiwa utapiga simu kwa wahusika upate msaada wa kitabibu.
Ndio maana nchi za ulimwengu wa kwanza wananya total lockdown.
 
Wale wenye magonjwa sugu kama HIVs, Diabetes n.k
Wachukue hatua dhaidi wao wenyewe tofauti na hatua za serikali
Hata kama hawajapa ugonjwa takwimu zinasema wapo kwenye hatari Zaidi ila kama una afya njema chukua tahadhali tu
Wananchi wangapi wakigundua wana matatizo watachukua taarifa?

Na kwa muda huo atakuwa ameambukiza wengi saana.
 

Fanyeni kazi acheni ujinga


Sent using IPhone X
 
Mmeshaandaa Videmu Vyenu vya Kujifungia Navyo ndani basi Mnaombea Lockdown kwa nguvu zote kwa kujifanya mnatabili kwa kutisha Watu..

Wiki moja Lockdown kwa Tanzania ni mateso makubwa kwa 95% ya wananchi
Hujielewi huyo
 
Mungu aepushie mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niandae tuu pombe za kutosha getho nisije nikapata mateso bure
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…