Kuna uwezekano mkubwa wa Yericko Nyerere kutimkia CCM muda wowote

Kuna uwezekano mkubwa wa Yericko Nyerere kutimkia CCM muda wowote

ni uhuru na haki ya kikatiba kwa mwananchi yeyote huru, kuamua kujiunga na chama chochote cha siasa kadiri apendavyo na kwa wakati muafaka wowote, bila mtu mwingine kupata mihemko wala makasiriko dhidi ya uamuzi huo huru 🐒
Ndio hilo linajulikana.
 
Mtu Kama huyo namtamani kwenye anga zangu yaani kiufupi lissu akishinda inabidi amuite yericko ikiwa bado hajakihama chama na kumwambia una machaguo mawili nikupige kwenzi mbele ya kamati ya chadema au ubebe virago mbele ya kamati uende unakojua wewe .
Yericko alishaenda CCM kitambo sana, sema kituo chake cha kazi ndiyo kilibaki CHADEMA. Hata huu mchezo walioucheza Mbowe na Lissu na Mbowe kuamua kumpisha Lissu, pamoja na malengo mengine mkakati ule ulilenga kuwatambua watu aia yaakina Yericko ambao wapo ndani ya Chama kwa malengo ya kazi Chafu
 
Aloo siasa hizi.....
 
Kwani analazimishwa kua mwana chama wa chama chochote?.Tusiwawekee watu maaamuzi kwasababu ya ufinyu wetu wa mawazo.Inawezekana hayo yanayojadiliwa huku mitandaoni waya yasiwe sehem ya maamuzi ya wahusika.
 
gentleman,
kama ni hivyo,
kuna haja gani wengine kubabaika na kua na mchecheto wa haki na uhuru wa wengine hata kuandika uzi?🐒
Tatizo lake ni lile la kutumia uhuru wake huo huku akiwa amejificha katika kimvuli cha chama kingine.
 
Back
Top Bottom