Kuna uwezekano mkubwa wa Yericko Nyerere kutimkia CCM muda wowote

ni uhuru na haki ya kikatiba kwa mwananchi yeyote huru, kuamua kujiunga na chama chochote cha siasa kadiri apendavyo na kwa wakati muafaka wowote, bila mtu mwingine kupata mihemko wala makasiriko dhidi ya uamuzi huo huru πŸ’
Ndio hilo linajulikana.
 
Yericko alishaenda CCM kitambo sana, sema kituo chake cha kazi ndiyo kilibaki CHADEMA. Hata huu mchezo walioucheza Mbowe na Lissu na Mbowe kuamua kumpisha Lissu, pamoja na malengo mengine mkakati ule ulilenga kuwatambua watu aia yaakina Yericko ambao wapo ndani ya Chama kwa malengo ya kazi Chafu
 
Aloo siasa hizi.....
 
Kwani analazimishwa kua mwana chama wa chama chochote?.Tusiwawekee watu maaamuzi kwasababu ya ufinyu wetu wa mawazo.Inawezekana hayo yanayojadiliwa huku mitandaoni waya yasiwe sehem ya maamuzi ya wahusika.
 
NYERERE ni seed planted in chadema, yupo kikazi zaidi kitengo cha siasa
 
gentleman,
kama ni hivyo,
kuna haja gani wengine kubabaika na kua na mchecheto wa haki na uhuru wa wengine hata kuandika uzi?πŸ’
Tatizo lake ni lile la kutumia uhuru wake huo huku akiwa amejificha katika kimvuli cha chama kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…