Sasa toka lini Wapwani wanafikiri kwa kina!!Kuna muda huwa nahisi kiongozi wetu huwa haumizi kichwa kufikiri. Anachoambiwa ndio hichohicho, unfortunately maswahiba wake ni mafisi hivyo wanamshauri mambo ya ajabu ajabu.
Anakuja Mwandishi Mzalendo Lucas Mwashambwa kuweka mambo sawa!Hebu tupe Takwimu za Watalii kabla na baada ya Royal Tour.
duh kwa ushahidi upi?Akiongea Leo wakati akipokea Ripoti kuhusu utendaji wa Wizara ya mambo ya nje kwenye Ikulu ya Dar, Rais Samiah amedai kwamba suala la branding sio suluhisho, kwani tumefanya branding nyingi na kutumia makampuni ya ulaya lakini hakuna faida iliyopatikana na zaidi imeleta hasara kwa serikali.
Kwa kauli hiyo ya Rais, inaonekana Royal Tour haikuleta matokeo mazuri ndio maana Rais kalalamika. Rais ametaka serikali ijikite kwenye kufanya kazi kwa bidii, na ndipo nchi itafahamika kwa kazi zake na sio kutupa pesa kwenye mambo ya branding.
Hebu tupe Takwimu za Watalii kabla na baada ya Royal Tour.
Tanzania πΉπΏ Nakupenda kwa moyo wangu wote. Lakini kuna Mafisi yapo Chama tawala Yana kutafuna bila huruma. Bado Nitakupenda tu Tanzania πΉπΏ wangu japo unatafunwa sana πππ