Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

Ye si alisema anafungua nchi kwa kuweka pembeni aliyoasisi Magu..sasa anataka turudi kwa Magu..sie tulimuambia akawa anatutikisia kichwa kwa dharau.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Akiongea Leo wakati akipokea Ripoti kuhusu utendaji wa Wizara ya mambo ya nje kwenye Ikulu ya Dar, Rais Samiah amedai kwamba suala la branding sio suluhisho, kwani tumefanya branding nyingi na kutumia makampuni ya ulaya lakini hakuna faida iliyopatikana na zaidi imeleta hasara kwa serikali.

Kwa kauli hiyo ya Rais, inaonekana Royal Tour haikuleta matokeo mazuri ndio maana Rais kalalamika. Rais ametaka serikali ijikite kwenye kufanya kazi kwa bidii, na ndipo nchi itafahamika kwa kazi zake na sio kutupa pesa kwenye mambo ya branding.
Branding na Royal Tour ni vitu viwili tofauti.


Ukitaka kufahamu kuhusu "branding" Muulize Haji Manara.
 
Back
Top Bottom