Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

Yani huwa nashindwa kuelewa Royal tour ilileta faida gani mpaka leo ukiniuliza😁
 
Ulitegemea ailete faida wakati mama na kundi lake walikuwa wakitoa ushambaa na kutengeneza fursa za upigajiii?
Tangu lini rahisi akawa waziri wa utalii?
 
Brand ni steve nyerere na mwijaku!
 
Wahuni ni wengi kama alivyosema Polepole. Wanamwingiza Kingi Mama ili wapige Muamala wa kutosha
 
Kwa akili zako unategemea mtalii aone tangazo Leo na kesho aje!?..unajua gharama wanazotumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…