Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

Huo ni ukweli kabisa
 
Kaongea kutoka moyoni mwake. Amedai kwamba tumewahi kupeleka tangazo CNN lakini hakuna tulichoambilia.
Kwa hiyo wale wakina Msigwa waliokuwa wanasema oooh royotuaaa imelipaaaaaaaa Mama anaupiga mwingiiiiiii sasa amewakana hadharani au amejisahau kuwa aliwaunga mkonono aiseeee
 
Kwa hiyo wale wakina Msigwa waliokuwa wanasema oooh royotuaaa imelipaaaaaaaa Mama anaupiga mwingiiiiiii sasa amewakana hadharani au amejisahau kuwa aliwaunga mkonono aiseeee
Hii nchi ngumu sana mkuu.
 
Kweli magang yanaendesha nchi. Hata Rais kadai Wizara ya mambo ya nje ipo vipande vipande. Kila mtu na lake.
Wengine kuelewa itahitaji elimu fulani na ndio maana Kuna muda huwa nasita kumlaumu huyu mama maana huenda kazidiwa nguvu na hayo ma gang!
 
Hebu tupe Takwimu za Watalii kabla na baada ya Royal Tour.
Akiweza kukupa ujue mwisho wa dunia umekaribia....

Kwa mara ya Kwanza tunafikisha watalii 3.8 milioni...
Wakati zamani hata 2.8 hatukuwahi fika...

Mijitu ipo humu kuongea vitu haina hata uelewa...navyo
 
Akiweza kukupa ujue mwisho wa dunia umekaribia....

Kwa mara ya Kwanza tunafikisha watalii 3.8 milioni...
Wakati zamani hata 2.8 hatukuwahi fika...

Mijitu ipo humu kuongea vitu haina hata uelewa...navyo
Lakini Mama kwa kinywa chake amekataa haya unayoyasema na kama yapo hayajasababishwa na royo tuaaaaaaaaa hahahahhaha msikilize Mama anasema hasara tupu kwikiwikwikw
 
Akiweza kukupa ujue mwisho wa dunia umekaribia....

Kwa mara ya Kwanza tunafikisha watalii 3.8 milioni...
Wakati zamani hata 2.8 hatukuwahi fika...

Mijitu ipo humu kuongea vitu haina hata uelewa...navyo
Acha basi kusoma hizo Comments za Mijitu soma za Watu kama wewe.
 
"Mzalendo",tatizo ni yule anayeshauriwa maana inaonekana hana uwezo wa kupima aina ya ushauri anaopewa.Kwa hiyo mambo mengine siyo ya kuwabebesha washauri.Hapa mshauriwa naye ni tatizo.
 
Hakika, fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua. Alifikiri amesema fumbo kumbe amefumbua.
 
Akiweza kukupa ujue mwisho wa dunia umekaribia....

Kwa mara ya Kwanza tunafikisha watalii 3.8 milioni...
Wakati zamani hata 2.8 hatukuwahi fika...

Mijitu ipo humu kuongea vitu haina hata uelewa...navyo
Je hayo ni matokeo ya kupungua sana kwa maradhi ya Corona au ni Royal Tour?
 
Yupo sahihi, nchi hii itajengwa na raia wake.
 
Vyovyote vile hizo takwimu haziwezi sema Royal tour imefeli...
Yaani uweke rekodi mpya kabisa ya utalii halafu useme ulichofanya hakijafanikiwa?
Kama Malengo ta Royal Tour yalikuwa ni for the good for our Country ni jambo jema sana.
 
Kama Malengo ta Royal Tour yalikuwa ni for the good for our Country ni jambo jema sana.

Kwanini useme kama?
Rwanda walipofanya Royal tour malengo ilikuwa nini?
Unajua Rwanda wanapokea watalii kuliko Zanzibar now?
 
Kwanini useme kama?
Rwanda walipofanya Royal tour malengo ilikuwa nini?
Unajua Rwanda wanapokea watalii kuliko Zanzibar now?
Lakini Msigwa alisema Royotuaaaaa ilisha anza kulipa na watalii wana miminika kila leo…Sasa inekuwaje mama leo anapingana na msemaji wa serikali au hawakuwasiliana😂😂😂😂😂😂. Royooooooo tuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…