Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida


Unaongea kishabiki maandazi kwani hamsomi hata magazeti??


 
Siku ya nwisho kila goti litapigwa
 
Sasa kama watu wanaojitolea kufanya branding harafu Bodi ya Utalii inakuja na mambo ya kipumbavu eti Hadi upewe ruhusa sijui kibali unategemea nini?

Mwisho na la muhimu kabisa ni kwamba branding pekee haisaidii sana Kwa sababu sio mara Moja nimemsikia Rais alisema Watalii wakija hawafudi lakini badala ya kuwafuata hao hao wawape maoni na mrejesho wa wapi Kuna Changamoto warwkebishe Majitu Yao ya huko maofisini yapi yapo kama mizigo.

So inaweza kuwa haijaleta Tija sana lakini Bora kufahamu kosa kuliko kutofahamu.
 
Kwenye hili naungana na wewe hivi bodi ya utalii ilikuwa inawashwa nini kwa mwijaku kuitangaza tanzania?
 
Wewe ulidhani ni faida gani.....Kuna nchi gani rais anafanya promo halafu utegemee maendeleo. Yaani uende kitalii na jopo la wasaidizi na walinzi wako Ikulu eti utegemee kuingiza nini
 
Kwenye hili naungana na wewe hivi bodi ya utalii ilikuwa inawashwa nini kwa mwijaku kuitangaza tanzania?
Majinga sana mawatu ya Serikalini huko,yanachangia sana kupoteza Kodi za Wananchi Kwa kutoa Ushauri wa kimbuzi mbuzi Kwa mamiradi yasiyo na Tija.
 
Hapo wanaume walimtanguliza wakapiga pesa
 
Tanzania 🇹🇿 Nakupenda kwa moyo wangu wote. Lakini kuna Mafisi yapo Chama tawala Yana kutafuna bila huruma. Bado Nitakupenda tu Tanzania 🇹🇿 wangu japo unatafunwa sana 😭😭😭
Mafisi yapo mpk Whitehouse mzee
 
Ukiona jambo lolote Rostam Azizi yupo mbele ujue ni dili tu hakuna lolote, Rostam na Royal Tour wapi na wapi? Rostam hana kampuni ya utalii lakini aliibukia kwenye dili akamtanguliza maza
 
Mi nilipoona tu Rostam yumo ndani nikajua hapa ni utapeli tupu, Rostam tangu lini akaingia kwenye utalii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…