Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
19,212
Reaction score
31,375
Wanafunzi sio sifa Dada
Bro mie ni mwanaume sio mwanamke.
Kwanini nachomaanisha mimi mathalan wewe bado unasoma hujamaliza kusoma je unaweza ukawania uongozi ukiwa bado unasoma?
 
Kabla sijakujibu.

Hebu sema chochote unachohisi kitakua ni sababu ya kushindwa kugombea huku unasoma.
 
Kabla sijakujibu.

Hebu sema chochote unachohisi kitakua ni sababu ya kushindwa kugombea huku unasoma.
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna ya kutimiza majukumu ya uongozi ukiwa bado unasoma.
Pia wasiwasi wangu mwingine ukikutana na mtu mwenye aliyesogea kiumri huwenda kama kijana ukapuuzwa.
 
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna ya kutimiza majukumu ya uongozi ukiwa bado unasoma.
Pia wasiwasi wangu mwingine ukikutana na mtu mwenye aliyesogea kiumri huwenda kama kijana ukapuuzwa.
Vikao vya kiuongozi havipo mwaka mzima. Utekelezaji wa majukumu utasababisha upuuzwe au uonekane una potential
 
Inawezekana .

John Heche wakati anashinda Udiwani alikuwa ameajiriwa kama Mwalimu na pia alikuwa Mwanafunzi wa Chuo Pale sauti .

Pamoja na yote waweza kuangalia mazingira ya kisiasa na Nyakati .
 
Bro mie ni mwanaume sio mwanamke.
Kwanini nachomaanisha mimi mathalan wewe bado unasoma hujamaliza kusoma je unaweza ukawania uongozi ukiwa bado unasoma?
Ndiyo, unafanya Kama John Mnyika. Alipata ubunge Akiwa mwaka wa tatu chuoni, akaahirisha masomo akaenda kutumikia wananchi kwanza.
Ila hajarudi tena kumalizia shule yule jamaa.
 
Back
Top Bottom