Bro mie ni mwanaume sio mwanamke.Wanafunzi sio sifa Dada
Nitajua kivipi mkuu?Ukipata utajua tu
Wasiwasi wangu mkubwa ni namna ya kutimiza majukumu ya uongozi ukiwa bado unasoma.Kabla sijakujibu.
Hebu sema chochote unachohisi kitakua ni sababu ya kushindwa kugombea huku unasoma.
Kama zengwe lipi?Labda kwa CCM ila ukiwa chama kingine utafanyiwa zengwe na chuo utaachishwa, ilishawahi kutokea kwa school mate angu.
Tena huyu alikua anasoma SAUT mwanza, degree ya Sheria, na chuo aliachishwa.Kama zengwe lipi?
Na je kama unasoma chuo binafsi?
Vikao vya kiuongozi havipo mwaka mzima. Utekelezaji wa majukumu utasababisha upuuzwe au uonekane una potentialWasiwasi wangu mkubwa ni namna ya kutimiza majukumu ya uongozi ukiwa bado unasoma.
Pia wasiwasi wangu mwingine ukikutana na mtu mwenye aliyesogea kiumri huwenda kama kijana ukapuuzwa.
Shukran mkuu, ila uombaji wa mawazo upo kwa wote.Umewatag chawa na wapenda mishangazi unatuacha wenye dhamana ya kukupa huo uongozi.
Enewei, inawezekana.
Next time tag watu wenye akili kama mimi, sawa kijana.Shukran mkuu, ila uombaji wa mawazo upo kwa wote.
Ndiyo, unafanya Kama John Mnyika. Alipata ubunge Akiwa mwaka wa tatu chuoni, akaahirisha masomo akaenda kutumikia wananchi kwanza.Bro mie ni mwanaume sio mwanamke.
Kwanini nachomaanisha mimi mathalan wewe bado unasoma hujamaliza kusoma je unaweza ukawania uongozi ukiwa bado unasoma?