Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

Yule jamaa alikuwa lecturer UDSM Halafu akawa diwani wa sehemu Ile.
Halafu akaenda ofisi I kwa Mkuu wa Chuo kumkoromea.
Mkuu wa Chuo akamwambia,"Ondoka hapa ofisini kwangu". Siyo tu alimwambia 'ondoka' nadhani alimfukuza kazi.
Kwa hiyo,kujibu swali lako,labda inawezekana, lakini unaweza kupata changamoto katika kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…