Nenda duka la dawa mwambie akupe postnol tabletsHabari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba?? Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakn nina waswas maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia. Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina waswas maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..
Asante kwa ushauri mkuu.. But dalili ya mimba ya wiki 2 hasa ni ipi maana sichaona dalili yote isipokuwa tumbo kuuma basSiku ya 11 si nzuri, ishia angalau ya 8 subiri hadi ya 24. Hapo katikati usiguse tena, margin of error ya angalau siku mbili ni nzuri. Alafu tumbo kuuma si dalili za mimba, na inavyoonekana umewaza sana, hizo stress zinaweza chelewesha p ukahisi unayo kumbe huna. Fikiria mambo ya kujenga taifa kwa sasa ka unayo unayo tu na ka huna huna.
Mkuu sasa hizo dawa za three days zina kaz tena hapo na hii 2 weeksPole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.
Mimba kama hujaipangilia acha tu shogaa isikie kwa jiraniKama vile nakuona unavyowaza kwamba ukiona siku zako hautafanya tena mapenzi..
Na pia ikiamua kutoka hata wiki mbili mfululuzo itoke tuu .. Ha ha ha ha.
Kama hilo tumbo linakata kama dalili ya kuingia mp na hauingii pengine ni mimba.
Nunua upt upime ili uwe na uhakika vizuri kuliko kuguess tuMimba kama hujaipangilia acha tu shogaa isikie kwa jirani
Possible mammie...kondoms ndiyo mpango mzima...Kwahiyo kuna uwezekano kuna majamaa yalipenya??
Kati ya mbegu za kiume naza kike zipi zipi zinadum kwa siku nyingi?Pole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.