Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

mkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimba...
Tupe mrejesho mkuu ilikuwaje?
 
Kupata mimba tarehe 11 inawezekana inategemea na hormone zako. Kuumwa na tumbo upande wa kulia wa au kushoto mara nyingi husababishwa na kuziba kwa fallopian tube zinazopitisha yai kutoka kwenye ovaries, pia yaweza kuwa ovaries zimeshambuliwa na mucus (inflammatory) hivyo kupelekea chemical information kutoka kwenye glands kutokua sawa (hormone imbalance).
Ona wataalamu wa Afya, pia tiba asili huweza kundoa tatizo hilo weweza wasiliana nami nikakusaidia.

Ushauri: Tupunguze kama sio kuacha kabisa ulaji wa vyakula vinavyotokana na zao la wanyama na ndege mf. Nyama, maziwa, mayai nk

NB: ULAJI WA VYAKULA NDIO CHANZO CHA MAGONJWA MENGI
 
Nakumbuka imenitokea siku ya 11 mimba ilipatikana na si kwamba nilihesabu vibaya hapana nilikuwa makini sana,,mimba ilipatikana now mtoto anakuwa tu vizur na maisha yanendelea kama kwaida,,so hizi siku bwana wakati mwingine majanga kabisa
Mbona Siku ya 11 ni Siku hatari? Kwan nyie hamjui kuhesabu Au?
1457301550.jpg
 
Uwezekano ni mkubwa sana maana siku ya 11 n siku ya ovulation day yani yai ndy ndy linatoka kweny ovari co uwezekano n mkubwa tena uko mbioni kupata mtoto wa kike siku safi zinaishia siku ya 8
Sio Siku ya 10?
 
mkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimba

Hajui mimba ni ya nani?, kama ya mchepuko ndo uchumba umeisha na hataki ndoa maana anahisi inaweza kuwa ya mchepuko ikawa aibu.

maisha ya dada zetu haya ni kazi sana
Siku ya 12 ndio mimba iliingia ni ya mchepuko
 
Akitoka MTT wakiume mimba ya mume wake akitoka wa kike mimba yamchepuko
Mmmh nami naomba msaada wakuu maana dah mdogo wang anamzunguko wa siku 28 akameet Na boy wake siku ya 9 siku ya 22akawa anaskia tumbo linauma akajua mimba siku ya 23 akaanza bleed kias mpaka siku ya 27 Ila hapo Kati ya hiz siku kunasiku hakupata period kabisa alipo maliza hizo siku za mp Na hapo nikama aliingia p mara mbili ndani YA mwez mmoja.....sasa alipo fika week 4 baada ya ile p alienda pima mimba kama mara mbili kwa kutumia vipimo vya kujipima mwenyew hajaona kama anamimba Ila kinacho tushangaza saiv kamaliza mwez mzima hajaona period Na tumbo hasikii maumivu sana sasa sijui Ni uoga umefanya asione au nin msaada plzz
 
Pole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.
Mkuu acha uongo mbegu za kiume zinakaa masaa 72hrs kweli au umechanganya
 
Back
Top Bottom