naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Sasa huko kijijini utazipata kweli kirahisi? Anyway njoo PM km hutojali nikuambie jambo maana sikawii kuambiwa nataka kuua.Zipi hizo mkuu maana Nina 2 weeks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huko kijijini utazipata kweli kirahisi? Anyway njoo PM km hutojali nikuambie jambo maana sikawii kuambiwa nataka kuua.Zipi hizo mkuu maana Nina 2 weeks
Ngoja nitajaribuKama una dawa ya kusafishia meno , nakufundisha hili Chukua kiasi weka katika glass au kata chupa ya maji I we glass kisha chukua mkojo wako hususan was asubuhi kiasi kama mls 5-8 cjanganya kwnye ile glass uliweka dawa ya kusafishia meno koroga kutafuta iwe soft , waweza ongeza kojo kama itakuwa nzito , ikishakoroga itatoa kama ka povu HIV nakuchukua kama rangi ya blue hivi na vipovu UKIONA HIVYO JUA KIMENASA
CC: bashiteeeeeeMaisha haya, wakat kuna watu wanatafuta watoto, wengne wanakwepa watoto
99% hauna ujauzito madam me and I ,hizo ulizonazo sio dalili za ujauzito.Wasiwasi ulionao utasababisha uchelewe kuingia katika next menstrual cycle.Maumivu uyapatayo chini ya kitovu inaweza kuwa una infection katika njia ya mkojo.Nakushauri uende hospitali iliyo karibu kwa ajili ya uchunguzi,ila kama hauko karibu na huduma za hospitali,unaweza fanya hivi kunywa kiasi kisichopungua 4.5liters cha maji kila siku kwa muda wa siku tatu hadi tano mfululizo hayo maumivu ya tumbo yataondoka kisha ukirudi kwenye huduma za afya jifanyie uchunguzi.Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??
Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.
Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..
Bora umenipa hata moyo mkuu asante but what if nimenasa99% hauna ujauzito madam me and I ,hizo ulizonazo sio dalili za ujauzito.Wasiwasi ulionao utasababisha uchelewe kuingia katika next menstrual cycle.Maumivu uyapatayo chini ya kitovu inaweza kuwa una infection katika njia ya mkojo.Nakushauri uende hospitali iliyo karibu kwa ajili ya uchunguzi,ila kama hauko karibu na huduma za hospitali,unaweza fanya hivi kunywa kiasi kisichopungua 4.5liters cha maji kila siku kwa muda wa siku tatu hadi tano mfululizo hayo maumivu ya tumbo yataondoka kisha ukirudi kwenye huduma za afya jifanyie uchunguzi.
Mkuu na je kama sina povu litakuwa LA rangi ganiKama una dawa ya kusafishia meno , nakufundisha hili Chukua kiasi weka katika glass au kata chupa ya maji I we glass kisha chukua mkojo wako hususan was asubuhi kiasi kama mls 5-8 cjanganya kwnye ile glass uliweka dawa ya kusafishia meno koroga kutafuta iwe soft , waweza ongeza kojo kama itakuwa nzito , ikishakoroga itatoa kama ka povu HIV nakuchukua kama rangi ya blue hivi na vipovu UKIONA HIVYO JUA KIMENASA
Inategemea kama unaweza kulea mimba na sio threat kwa afya yako ya mwili na akili ni jambo zuri,otherwise for the first trimester kuna njia mbili salama za ku end pregnancy,Medication abortion(abortion with pills) or An aspiration abortion (surgical/suction abortion).Bora umenipa hata moyo mkuu asante but what if nimenasa
IPI ni nzuri mkuuInategemea kama unaweza kulea mimba na sio threat kwa afya yako ya mwili na akili ni jambo zuri,otherwise for the first trimester kuna njia mbili salama za ku end pregnancy,Medication abortion(abortion with pills) or An aspiration abortion (surgical/suction abortion).
Kulea mimba mkuu kama utakuwa nayo kama sio tishio kimwili na kiakili kwako ndio njia nzuri ya kupita.IPI ni nzuri mkuu
Nyeupe na if it turns into bluish you are pregnantMkuu na je kama sina povu litakuwa LA rangi gani
If umenasa hujui ni kwenda wapi na nn kinafuata[emoji23] [emoji23] jipange kumtaja jina aliyekupa mimba huko,,,,,Bora umenipa hata moyo mkuu asante but what if nimenasa