Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Huu mchezo wa kutoa nje ni kujidanganya tu! Unapoanza tu kujisikia vitu hutoka kama risasi! Vile vya kwanza huwa vimeshatoka tayari! Unajichafua bure tu!
Hamna kitu kama hiyo boss labda kama umehamisha akili kwa utamu lakini ukiamua kutoa unatoa unapukuta na unarudi mchezoni murua kabisaaa bila tabu na hakuna joti atakae bakiamo
 
Jaribu kuzishika chuchu zako kama zauchungu (zinauma) ujue tayari umenasa
 
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??

Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.

Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..
Ndio waweza kwa sababu ni kuanzia Siku ya 10-17.
 
Nilijiamini siku ya 9 na akanasa vizuri tu, so to be safe ishia siku ya nane kwa wenye mzunguko wa siku 27-28
Mkuu ukiishia ya 8 ni hadi lini? Maana mie nimeishia 8-18 **** mdau kasema hadi 24 sina hamu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekwepa mjini umeenda kunasia kijijini,,ulizani wazembe hao wajamaa??
Nimenasia mjini mkuu siku hiyo ya 11 ndo nilkuwa nasafiri so tulikuwa tunaagana na bebe
 
Hivi vocha na smart phone si anaweza kuwa kaenda nazo au kutumiwa? kabla hujaropoka fikiria, kuna vijiji havina maduka ya dawa kabisa, na labda yapo hayana hivyo VIPIMO!
Mwambie ww mkuu
 
Itakuwa una vinasaba vya kike wewe. Kama unaweza ingia kwenye simu ya smart phone na kuandika jf hasa kwa maeneo ambayo yana 3g. Sasa kwa uzoefu 3g iko maeneo ambayo kidogo yameendelea sasa sijui unabishana nini.Hata zahanati ikosekane
Ni 2g mkuu hakuna 3g
 
Ha ha ha. Mungu atusaidia wanawake. Yaaani zikija unaweza hata chinja mbuzi kwa furaha
Yaani cpati picha hiyo furaha kuna siku nyingine ilikuwa hivihivi nilivopima nikakuta negative nilifungulia mziki huo mpaka mwenyenyumba akanigongea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahhaha usiombee uwe umecheza rafu na kadent alafu kanakwambja stori kama hizo dah.....

After a long wait, siku ya siku anaona siku zake unaweza ukawa chizi gafla.

Kuna rafiki yangu alisha wahi kutupa offer ya bia kwa sababu ya hii kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo tayari una mimba!! Yai hupevuka siku ya 14, na mbegu za uzazi zinauwezo wa kuishi katika kizazi hadi siku 3,Suala kuwa alimwagia nje ni gumu maana tule tujamaa tuna spidi sana wakati wa kutoka, na nilishajaribu huwa zinaponyoka.
Lkn nilienda kuosha na maji fasta au tunaweza kuwa tulishakimbia
 
Hiyo ni mimba kabisa hakuna mashaka. Tena ya mtoto wa kike maana y chromosome iliwahi kufa x akafanya mambo. Andaa pampas.
 
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??

Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.

Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..
Ndio. KAA choncho
 
Back
Top Bottom