Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Nakumbuka imenitokea siku ya 11 mimba ilipatikana na si kwamba nilihesabu vibaya hapana nilikuwa makini sana,,mimba ilipatikana now mtoto anakuwa tu vizur na maisha yanendelea kama kwaida,,so hizi siku bwana wakati mwingine majanga kabisa


Hongera mkuu.

Mtoto jinsia gani?
 
Pole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.
Unampa njia ya kufanya mauaji.
 
Huyo unayedai ni mwenzio je ni mumeo? Maana si vizuri kuwashirikisha waungwana mambo ya uasherati!
 
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??

Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.

Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..

kwa nini unapenda kuchepuka bila kinga?
 
Back
Top Bottom