Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Uwezekano ni mkubwa sana maana siku ya 11 n siku ya ovulation day yani yai ndy ndy linatoka kweny ovari co uwezekano n mkubwa tena uko mbioni kupata mtoto wa kike siku safi zinaishia siku ya 8
 
Pole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.
mkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimba

Hajui mimba ni ya nani?, kama ya mchepuko ndo uchumba umeisha na hataki ndoa maana anahisi inaweza kuwa ya mchepuko ikawa aibu.

maisha ya dada zetu haya ni kazi sana
 
Nakumbuka imenitokea siku ya 11 mimba ilipatikana na si kwamba nilihesabu vibaya hapana nilikuwa makini sana,,mimba ilipatikana now mtoto anakuwa tu vizur na maisha yanendelea kama kwaida,,so hizi siku bwana wakati mwingine majanga kabisa
Na ni wa kike
Kiutalaamu siku salama ni 6-9
Baada ya hapo inakuwa ni mimba tu kwani Yai hutoka katika kokwa siku ya 14
Na likitoka linakuta mbegu ya X ikilisubiri ambayo mara nyingi hutengeneza mtoto wa kike

Maana ukifanya ngono siku ya 11 mbegu zinazotoka kwetu sisi wanaume ni X na Y sasa Y anaishi muda mfupi kuliko X
 
mkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimba

Hajui mimba ni ya nani?, kama ya mchepuko ndo uchumba umeisha na hataki ndoa maana anahisi inaweza kuwa ya mchepuko ikawa aibu.

maisha ya dada zetu haya ni kazi sana
Inategemea aliyewahi ni nani
Kama ni mchepuko basi mimba ni ya mchepuko
 
Uwezekano ni mkubwa sana maana siku ya 11 n siku ya ovulation day yani yai ndy ndy linatoka kweny ovari co uwezekano n mkubwa tena uko mbioni kupata mtoto wa kike siku safi zinaishia siku ya 8
Mungu wangu
 
Kama vile nakuona unavyowaza kwamba ukiona siku zako hautafanya tena mapenzi..
Na pia ikiamua kutoka hata wiki mbili mfululuzo itoke tuu .. Ha ha ha ha.

Kama hilo tumbo linakata kama dalili ya kuingia mp na hauingii pengine ni mimba.
Inaonekana ww ni mhanga/ ulisha pitia hiyo kitu...

Kama mwanaume hakuwa amejipanga akipokea hizo taarifa unaweza kudata... Kuna mwanafunzi mmoja alisha wahi kujishtukia akanipa taarifa hizo kuwa tumbo linamuuma kidogo nihame mji....

Alivyo enda kupima akakuta hamna kitu, mm na yy mawasiliano tukakata
 
Unaogopa mimba kuliko ukimwi aisee..
Hiyo mbinu ya kumwaga nje ni ngumu sana, inahitaji uzoefu mno...
Kumwangia nje ni ngumu sana kwa mwanaume, ile unataka kutoa nje unajisemea kimoyo moyo hata kama atapata mimba mm nitaitunza kwani shida n nini, ukisha mwangia ndani ndiyo unaanza kujilaumu kwanini nilifanya hivyo...... Hahahah
 
Na ni wa kike
Kiutalaamu siku salama ni 6-9
Baada ya hapo inakuwa ni mimba tu kwani Yai hutoka katika kokwa siku ya 14
Na likitoka linakuta mbegu ya X ikilisubiri ambayo mara nyingi hutengeneza mtoto wa kike

Maana ukifanya ngono siku ya 11 mbegu zinazotoka kwetu sisi wanaume ni X na Y sasa Y anaishi muda mfupi kuliko X
Mkuu X anaish muda gani na Y muda gan
 
Inaonekana ww ni mhanga/ ulisha pitia hiyo kitu...

Kama mwanaume hakuwa amejipanga akipokea hizo taarifa unaweza kudata... Kuna mwanafunzi mmoja alisha wahi kujishtukia akanipa taarifa hizo kuwa tumbo linamuuma kidogo nihame mji....

Alivyo enda kupima akakuta hamna kitu, mm na yy mawasiliano tukakata
Duu unatafuna kavu videnti?..una hatari mkuu..
 
Mimi sijaelewa hii siku ya kumbe na moja inaanzia wapi lakini wacha niingize Nene hivyo hivyo.

Kwa ufahamu wangu ninavyofahamu kuwa kama una mzunguko wa siku ishirini na name basi unaweza shika mimba kuanzia siku ya Tisa kutoka ulivyoanza kuona hedhi..tunasema kuanzia siku ya Tisa kwa sababu mbegu za kiume zinadumu hai kwa Massa sa 72 sawa na siku tatu hivyo no rahis kushika mimba unaposex siku kama hizo.

Alafu wapo wenye mzunguko mpaka wa siku 33-35 sasa hawa wanakuwa tofauti na huyo mwenye mzunguko wa kawaida siku ishirini name jinsi ya utungwaji mimba...na wapo kwenye mzunguko mfupi zaidi.sasa inadepent wewe upo kundi gani LA hiyo mzunguko niliyotaja..na hiyo siku ya kumi na moja ulianzia wapi kuihesabu.

He he he ila dizain kama umenasa maana mimba inatabia ya kutibua tumbo kama unataka kuingiaa hedhi alafu kitu ukioniii 😀😀😀😀siku zinasongaa....
 
Back
Top Bottom