Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Inaonekana ww ni mhanga/ ulisha pitia hiyo kitu...

Kama mwanaume hakuwa amejipanga akipokea hizo taarifa unaweza kudata... Kuna mwanafunzi mmoja alisha wahi kujishtukia akanipa taarifa hizo kuwa tumbo linamuuma kidogo nihame mji....

Alivyo enda kupima akakuta hamna kitu, mm na yy mawasiliano tukakata
Hahahahaha miaka 30 jela ilikuwa inanukia.
Kumbe ndiyo maana kipindi cha uanafunzi nilishawahi kumdanganya mtu Nina mimba yake akanipa hela ya kutoa (ofcoz shida yangu ilikuwa hela wala sikuwa na mimba) baadae nikamwambia imetoka weeeee alipotimkia hata napajua...
 
Hata UTI inaweza sababisha hilo tatizo. Subiri siku za mzunguko wako uone kama zimepitiliza.
 
Unaona kama umeona dhahabu yaani.
Kwanza kabla haujaiona ukihisi kitu unawahi kujichungulia fasta wakati huo mwanaume katulia zake hana habari yani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan acha tuna tabu ss
 
Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??

Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.

Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..

Upo kabisa Mimi wakati navizia kupata baby girl niliku si side siku ya 11 mwisho ilikua ya 10 ku have sex
 
Ukitaka mtoto wa kiume na wakike ni tarehe zipi wakuu?

Nataka mtoto wa kike chap chap
 
Vipi HIV mlipima kabla?

Maana eti kuna wanawake wanaogopa kupata mimba kuliko kupata maambukizi ya virusi hatari vya HIV,

Hii imekaaje?!
 
Back
Top Bottom