Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.

Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Naunga mkono hoja


View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss
P
 
Mtoa mada naona unazeeka vibaya

Acha kumfananisha baba wa taifa na vitu vya kipumbavu[emoji20]
baba wa taifa lipi ?? baba ndio huifanya nyumba yake kuanguka kiasi hiki?? Tanganyika yote ni uoza pamoja na ngawira yake Zanzibar ndio haisemeki ni nyang`a nyang´a
 
Amin ninachosema.
Polepole kinachomsumbua ni madaraka na siyo uzalendo wa nchi hii.

Nimefanyakazi naye kwa ukaribu. Anatakiwa kubadilika na siyo kutumia changamoto za nchi kujipenyeza. Kumbuka sakata la Trillion 1.5, rejea chaguzi za uteuzi za ndani ya CCM 2019 na 2020. Kumbuka Uchaguzi Mkuu 2020.

Tusilishane matangopori kwa kupaka rangi uvundo.

CCM imeishiwa thinkers na kila mtu sasa anajitafuta aonekane ana pembe kushinda wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…