Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Wanamfurahisha jiwes enzi zake angewapandisha vyeo hizi mambo anazipenda sanaHuyu TBI imemsombaa pale alipodondoshwa toka kwenye garii...!! Yani Polisi hawa wanavuta mtu kama mbwa kwelii as if ni gunia la mahindi.. inasikitisha sana
Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.askari watano wanamshambulia mtu mmoja..!
WTF...
Dereva aliambiwa asiguse gari akakaidi,kaambiwa aende hospitali no kasema atafika Tunduma kutibiwa na ndugu zake.Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
Maisha ya watu Gani unazungumzia Mpuuzi wewe!!! Zungumzia tumbo lako linalokufanya akili unaweka pembeni unashabikia upuuzi.!!! Shame eti na wewe Ni mwanaume was kutegemewa Dah..!! Hasara tupuHapa tunazungumzia maisha ya watu hatuko kwenye kilabu cha mbege!
Tumeona wakimpiga, mbona tuliwaona wakimpiga kama kweli alikuwa mgonjwa? Kwanini Polisi wa Tanzania wanapiga wagonjwa?Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu , hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757