Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Si kazi yetu kukuamsha usingizini , taarifa hii ipo humu jf tena kwa upana sana , hatuwezi kuirudia , hata hivyo hata utaratibu wa jf hauruhusu kurudia kuleta habari , tumeleta tamko la polisi tu , ni kazi yako kutafuta habari zilizotangulia .Uandishi gani huu wa habari!
====
Toa details za wahusika, mazingira yalikuwaje, ndipo utoe taarifa ya tukio zima. Siyo wote wanaelewa unayoelewa juu ya mkasa huu. Hata hivyo asante sana mleta mada kwa kutujuza uwepo wa mkasa huu.
====
Moderators, mkiwa mnapata wasaa muwe 'mnatupiga shule', namna ya kuwasiliza taarifa hapa JF.
Tunatambua gharama ya bando kwa sasa imefanya wengi muwe nje ya mtandao , poleni sana , #Mitano tena .