Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
"Aliyeonja (aliyekula) damu (nyama) ya mtu haachi", Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere!Ha ha ha haaaa! Mkuu. Umeanza tena 'sarakasi'. Ha ha haaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Aliyeonja (aliyekula) damu (nyama) ya mtu haachi", Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere!Ha ha ha haaaa! Mkuu. Umeanza tena 'sarakasi'. Ha ha haaaa!
Hiyo homa ya mapafu c tuliambiwa wazr mkuu ndo mwenye ruhusa ya kuitangaza?
Alafu kiwazr kipanyachawene kimekaa kimya tu. Shit!
Lkn Watz siyo wajinga muelewe[emoji847], phambafu nyieeeee
Dah mkuu kulikoni ni wewe au mwengine? Umekosa teuzi nini?Serikali iwachukulie hatua kali polisi hao.. Uhai wa binadamu sio mzaha hivyo. Serikali isifanye mzaha kabisa na suala hili
Wengi wakistaafu wanawehukaKazi zingine hizi laana nje nje.
nashukuru kwa taarifa, sikulijua hiloWamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
Mimi nimeona akipigwa teke akiwa kalala chini. Halaf mtu mmoja amelala chini anapambana vipi na askari waliopotia mafunzo watano?Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
Pigia mstari pimbi weweNani mjanja nchi hii?
Lisu?...... au Halima Mdee?!!!
Mwanaume acha unafiki. Kwamba ndani ya Moyo wako kabisa unaoigania tumbo lako lisisinyae... Ni vizuri kuwa Muwazi.Ha ha haaa! Kwamba 'buku saba ' siku hizi zimesitishwa ama hakuna, maana ndizo kauli zenu za kutukejeli sisi wapigania Tanzania imara na inayojitegemea kikweli kweli kwenye nyanja zote.