Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Huu ndio wendawazimu sasa. Mkuu wa nkoa kaunda tume kabla haijatoa taarifa kenge mwingine anaibuka na kutoa taarifa. Huku siyo kuingilia majukumu ya tume?
 
Huyo Kamanda anapaswa kushitakiwa kwa kushiriki kusema uongo hadharani.
 
Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
nashukuru kwa taarifa, sikulijua hilo
 
Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
Mimi nimeona akipigwa teke akiwa kalala chini. Halaf mtu mmoja amelala chini anapambana vipi na askari waliopotia mafunzo watano?
 
Jeshi la polis limeshatoa taarifa kua jamaaa alikua anasumbuliwa na homa ya mapafu
 
Video ipo wapi hiyo.

Ila mh polisi wanamkamata mtu aliye kazini.

Wanamkuta na homa ya mapafu.

Wanampeleka hospitali.

Dereva /mgonjwa/mtuhumiwa anakufa.

Bora hata wangesema alipata presha baada ya kukamatwa na mirungi.
 
Hii yote hali ngumu.ingekuwa hali ni fresh angekaa nyumbani mpaka akapona.
 
Ha ha haaa! Kwamba 'buku saba ' siku hizi zimesitishwa ama hakuna, maana ndizo kauli zenu za kutukejeli sisi wapigania Tanzania imara na inayojitegemea kikweli kweli kwenye nyanja zote.
Mwanaume acha unafiki. Kwamba ndani ya Moyo wako kabisa unaoigania tumbo lako lisisinyae... Ni vizuri kuwa Muwazi.
 
Back
Top Bottom