Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Huyu TBI imemsombaa pale alipodondoshwa toka kwenye garii...!! Yani Polisi hawa wanavuta mtu kama mbwa kwelii as if ni gunia la mahindi.. inasikitisha sana
Wanamfurahisha jiwes enzi zake angewapandisha vyeo hizi mambo anazipenda sana
 
askari watano wanamshambulia mtu mmoja..!
WTF...
Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
 
Wamemshambulia kwa ngumi au mateke au virungu haionyeshi hapo! Naona wanambeba na kumuondoa ktk gari alikuwa mgonjwa na hakupaswa kuendesha gari lilikuwa linayumba. Polisi wameokoa maisha ya watu wengi hapo. Na kumbeba na kumuondoa kwa nguvu ilikuwa very proper.
Dereva aliambiwa asiguse gari akakaidi,kaambiwa aende hospitali no kasema atafika Tunduma kutibiwa na ndugu zake.
Hapo nini lawama
 
Mambo kama haya wangefanya Askari wa kizungu kwa mtu mweusi kila mtu angeandika BLACK LIVES MATTER lakini tumefanyiana wenyewe kwa wenyewe tunachukulia kawaida sana tuacheni unafiki
 
Hapa tunazungumzia maisha ya watu hatuko kwenye kilabu cha mbege!
Maisha ya watu Gani unazungumzia Mpuuzi wewe!!! Zungumzia tumbo lako linalokufanya akili unaweka pembeni unashabikia upuuzi.!!! Shame eti na wewe Ni mwanaume was kutegemewa Dah..!! Hasara tupu
 
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi

Jeshi  la Polisi mkoani Mbeya limesema dereva wa lori, Abrahaman Hussein (61) al ( 640 X 640 ).jpg



Natoa pole kwa wafiwa na Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu Dereva , Amina
 
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu , hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi

View attachment 1689757
Tumeona wakimpiga, mbona tuliwaona wakimpiga kama kweli alikuwa mgonjwa? Kwanini Polisi wa Tanzania wanapiga wagonjwa?
 
Kweli ndani ya nchi yako mwenyewe unauwawa kinyama, afu waliosababisha kifo chako wanaongea upuuzi ati homa ya mapafu...

Ndio maana polisi hawana maendeleo yoyote na hata familia zao hazieleweki....ni kama watu waliolaaniwa kwa roho zao mbaya

Nina uhakika dam ya binadam haimwagiki kizembe ...lazima waliohusika watawajibika tu kwa namna moja au nyingine...
 
Hii nchi bhana sometimes kuna mambo yanaudh sana, yaan mtu kaburuzwa vile adi kujipigiza kwenye lami alafu watu wanakuja na blah blah!?
 
Back
Top Bottom