Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Sio kweli research iyo ume imfanyia wapi?
asilimia kubwa ya watu wanaotumia hayo marashi mara nyingi huwa na kasoro aidha ni wachafu hawaogi au wanaingiliwa kinyume.so wanafanya hayo kuficha harufu
 
Hapo ungesema wewe upendi harufu kali na kuto involve others na kuanza kutoa kasoro kwa jinsia zao hio hakuna kitu ina badirisha
Sawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for Men
 
Sawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for Men
Kuna perfume zina harufu mzuri tu na special za kiume ila ina nukia sana acha kutumia izo spray za 7000 ukipigwa na mosh una nukia moshi acha be smart
 
Hata wale wadada wanapiga perfume Kali mpaka akikunywesha maji unahisi unakunywa perfume na kuhiisi kichefuchefu
 
Reactions: ywf
Da, ila umasikini ni kitu kibaya sana. Ndiyo maana viwanda vya kutengeneza hayo mavitu vipo, acha wenye pesa wayafurahie maisha yao
 
Na kuna vidume vinajisifia kunuka kwapa na kende ndio uanaume.

Ikiwa ndani ya uwezo wangu hata 500k nanunua perfume.
 
Sawa ila mnakera. Si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero kwa wengine bila wewe kujua. Tumia perfume yenye harufu kidogo especially for Men
Mimi ni mdau sana wa manukato, nina support kwa asilimia 100 ulichosema kuanzia mwanzo mkuu, naelewa hiyo hali inavyokera. Watu inabidi waelewe sana hapo uliposema "si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimes unaweza kuwa kero".
 
Sio vibaya kunukia mkuu, na kunuka jasho sio sifa nzuri.

Binafsi harufu ya jasho la kiume inanikera kinoma, mwanaume msafi hanuki wala hanukii.
Wala huhitaji marashi wala jasho, ukipiga maji ukachapa futa la mgando kiroho safi, hunuki wala hunukii.

Wale wanaotwanga marashi kama majini hata dakika mbili sikai nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…