Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Hiyo namba nne bei yake shngap mkuu
Ni bajeti yangu ya msosi miezi 6....

1753639513180.png
 
Bora wasipake hizo perfume ila wakumbuke deodorant ambayo naona ni muhimu kuliko hata hizo perfume, harufu ya kwapa inakera sana. Unakuta mtu anapuliza maperfume makali na hapaki deodorant hadi kichwa kinauma.
 
GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.

Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.

Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.

Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Uiombe uifanyie ukaguzi sehemu moja hadi nyingine
 
Back
Top Bottom