Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

Mimi ni mdau sana wa manukato, nina support kwa asilimia 100 ulichosema kuanzia mwanzo mkuu, naelewa hiyo hali inavyokera. Watu inabidi waelewe sana hapo uliposema "si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimesbunaweza kuwa kero".
Ni wazi kua hawajiamini au kuna kitu ndani yao kinatoa harufu kali, sasa ili kukizuia basi anajidunga unyunyu wa kuzidi akiamini anaificha harufu, kumbe anatengeneza janga jingine.
 
Yaani mwanaume smart lazima anukie hata ukiwa km 2 huko tusikie marashi yako 😌😎, hicho kijacho endelea kunuka mwenyewe
Kunukia km 2 ni ya wanawake mkuu, wa kiume ananukia kiasi tu na ni hadi uwe karibu nae ili wewe ke upate hamu ya kumbato lake, sio harufu kali ukimsogelea unapiga chafya, haifai.
 
GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.

Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.

Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.

Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Mimi najua huwa inatumika na watoa harufu chafu. Kule boarding ilikuwa inaitwa unyunyu dawa ya paspoti
 
Kunukia km 2 ni ya wanawake mkuu, wa kiume ananukia kiasi tu na ni hadi uwe karibu nae ili wewe ke upate hamu ya kumbato lake, sio harufu kali ukimsogelea unapiga chafya, haifai.
Point yangu ni mwanaume ukitumia perfume zile Og manukato yanakaa muda mrefu mwilini, hivyo mwingine anaweza kuona kero
 
GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.

Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.

Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.

Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Bei kitonga za kupima....
 
1. Creed Aventus, hili dude hatari sana.
2. Now Rave, ni tamu sana. Hakuna mtu atakosa kukusifia ukiioga hii perfume.
3. Invictus, cool and fresh ikiwa hupendi mavibe ya perfume.
4. Sauvage Elixir, very powerful perfume. Inawaka balaa. Hii inakaa kwenye nguo hata wiki mbili.

Hapa nazungumzia pefume za kupima only.
 
Mnakera. Ushaona.mtu kutoka west au asia wananukia hovyo hovyo kama wabongo? Wenzetu wamestaarabika sana
Nonsense, nenda huko Italy na France uone balaa lake. Pili, nakuhakikishia hakuna tajiri yeyote ambae hanukii, watu wananunua perfumes zaidi ya 1m. Hakuna tajiri anatoka kwake ananuka jasho kama lako au anatumia spray yako ya elfu saba au kumi.

Hapa sisemei matajiri kama akina Mo, nazungumzia hata wafanyakazi wa vyeo vya juu kwenye taasisi. Narudia tena, hakuna mtu ambae hawazi kula, kulala, ada n.k kisha hanukii, hayupo. Kukosa manukato ni moja ya dalili ya umaskini kama sio ushamba.
 
1. Creed Aventus, hili dude hatari sana.
2. Now Rave, ni tamu sana. Hakuna mtu atakosa kukusifia ukiioga hii perfume.
3. Invictus, cool and fresh ikiwa hupendi mavibe ya perfume.
4. Sauvage Elixir, very powerful perfume. Inawaka balaa. Hii inakaa kwenye nguo hata wiki mbili.

Hapa nazungumzia pefume za kupima only.
Hiyo namba nne bei yake shngap mkuu
 
Back
Top Bottom