Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ni wazi kua hawajiamini au kuna kitu ndani yao kinatoa harufu kali, sasa ili kukizuia basi anajidunga unyunyu wa kuzidi akiamini anaificha harufu, kumbe anatengeneza janga jingine.Mimi ni mdau sana wa manukato, nina support kwa asilimia 100 ulichosema kuanzia mwanzo mkuu, naelewa hiyo hali inavyokera. Watu inabidi waelewe sana hapo uliposema "si kila harufu unayoipenda wewe na mwenzako anaipenda sometimesbunaweza kuwa kero".
Kunukia km 2 ni ya wanawake mkuu, wa kiume ananukia kiasi tu na ni hadi uwe karibu nae ili wewe ke upate hamu ya kumbato lake, sio harufu kali ukimsogelea unapiga chafya, haifai.Yaani mwanaume smart lazima anukie hata ukiwa km 2 huko tusikie marashi yako 😌😎, hicho kijacho endelea kunuka mwenyewe
Mimi najua huwa inatumika na watoa harufu chafu. Kule boarding ilikuwa inaitwa unyunyu dawa ya paspotiGT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.
Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.
Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.
Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Point yangu ni mwanaume ukitumia perfume zile Og manukato yanakaa muda mrefu mwilini, hivyo mwingine anaweza kuona keroKunukia km 2 ni ya wanawake mkuu, wa kiume ananukia kiasi tu na ni hadi uwe karibu nae ili wewe ke upate hamu ya kumbato lake, sio harufu kali ukimsogelea unapiga chafya, haifai.
Mkuu manukato og hayakeri ukijichapa kwa kiasi maana hayaumizi pua.Point yangu ni mwanaume ukitumia perfume zile Og manukato yanakaa muda mrefu mwilini, hivyo mwingine anaweza kuona kero
😹😹😹 kweli hiyo ni kero, mimi mwanaume akiwa ananukia napenda sana 😎. Ila asizidisheMkuu manukato og hayakeri ukijichapa kwa kiasi maana hayaumizi pua.
Shida ni mtu kupiga unyunyu wa karne, mpaka shati inaloa unyunyu
Bei kitonga za kupima....GT
Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana.
Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima kwanupande mwingine siyo ustaarabu.
Men tubadike perfume siyo usafi Kidume wa ukweli lazima unuke kajasho kembamba ka kiume na hizi perfume zitakuhitaji kubadili nguo na kuoga mara kwa mara la sivyo utakuwa unanuka uvundo.
Unaweza kuwa smart kwa kuvaa nguo nzuri na kuogea subuni tu yenye marashi mazuri na mafuta mazuri bila perfume.
Mi napenda mwanamke we na harufu yake asilia tu. Mnanukia vizuri bila unyunyu.😹😹😹 kweli hiyo ni kero, mimi mwanaume akiwa ananukia napenda sana 😎. Ila asizidishe
Ewaaa 😌, yaan humo humo MkuuMi napenda mwanamke we na harufu yake asilia tu. Mnanukia vizuri bila unyunyu.
Duh! Kuna wanawake na harufu zao za asili,zinavutia kama chatu na mbwaMi napenda mwanamke we na harufu yake asilia tu. Mnanukia vizuri bila unyunyu.
Yaah kabisa mkuu, binafsi zinanivutia sana na harufu ya kijasho chao sio kama sisi mabandidu.Duh! Kuna wanawake na harufu zao za asili,zinavutia kama chatu na mbwa
Mnakera. Ushaona.mtu kutoka west au asia wananukia hovyo hovyo kama wabongo? Wenzetu wamestaarabika sanaMoja ya vitu navipenda katika maisha yangu sana ni kunikia hadi mtu aseme Aleyn unanikia vizuri sana.
Nonsense, nenda huko Italy na France uone balaa lake. Pili, nakuhakikishia hakuna tajiri yeyote ambae hanukii, watu wananunua perfumes zaidi ya 1m. Hakuna tajiri anatoka kwake ananuka jasho kama lako au anatumia spray yako ya elfu saba au kumi.Mnakera. Ushaona.mtu kutoka west au asia wananukia hovyo hovyo kama wabongo? Wenzetu wamestaarabika sana
Hiyo namba nne bei yake shngap mkuu1. Creed Aventus, hili dude hatari sana.
2. Now Rave, ni tamu sana. Hakuna mtu atakosa kukusifia ukiioga hii perfume.
3. Invictus, cool and fresh ikiwa hupendi mavibe ya perfume.
4. Sauvage Elixir, very powerful perfume. Inawaka balaa. Hii inakaa kwenye nguo hata wiki mbili.
Hapa nazungumzia pefume za kupima only.