Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.

Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna kipindi kama kijana unajikuta tu uko na mahusiano na mabinti 4, 5, 6 n.k

Wengine hawashituki hiyo hali huona ni fahari. Wengine wanaumia , hawafurahii lakini kuchomoka inakuwa vigumu.

Uzinzi kwa kijana unakuwa peak pale anapokuwa na pesa nyingi bila kujali ameoa au hajaoa.
Ili uachane na hiyo hali ya uzinzi uliokomaa lazima uchukue maamuzi ya kikatili. Nasema maamuzi ya kikatili kwasababu kuna wanawake ving'ang'anizi, ukiwaacha ni kama umekata matumaini yao hivyo hawako tayari kuachika kizembe.

Njia ni mbili tu, waambie kwa sms au kwa kuwapiga simu au wablock kila kona. Whatsapp, Instagram, kwenye sms na voice calls.

Usitoe sababu yoyote. Wewe piga block na hakikisha huoni ujumbe wake kwa njia yoyote.
Ukipiga block endelea na maisha yako ya kawaida.

Mimi nimewahi kuwa na mademu 5 kipindi kimoja. Sasa naweza kuthubutu kusema Sina demu zaidi ya wife.
Kataa zinaa, ishi maisha marefu na yenye mafanikio.
 
Mkuu,

Hapo kwenye maamuzi ya kikatili na wanawake ving'ang'anizi hapo. Hapo panahitaji akili kubwa sana hapo.
 
Kuna jamaa mmoja yeye ni mbaba lakini anapenda totozi, sasa hata watoto wake wa kike na kiume ni hivi hivo, shule imeshindikana watoto 4 wameishia form2 kwa ufupi ni wahuni daughters & sons like father, haya mambo huwa yanafuata mkondo na inakuwa laana kwenye uko wako, bora uoe ikiwezekana wake 2 ijulikane kabisa kuliko kufanya uzinzi na wanawake tofauti tofauti.
 
Inafika wakati unakuwa na totozi 6 kwa mpigo.
Haya utaendeleaje?
 
Ushauri mzuri, ila kama huwezi kujitoa utahisi ushauri huu ni sawa na kufuata maneno ya Dr. Janabi.
InShot_20240306_175530554.jpg
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.

Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa).
Kuna kipindi kama kijana unajikuta tu uko na mahusiano na mabinti 4, 5, 6 n.k

Wengine hawashituki hiyo hali huona ni fahari. Wengine wanaumia , hawafurahii lakini kuchomoka inakuwa vigumu.

Uzinzi kwa kijana unakuwa peak pale anapokuwa na pesa nyingi bila kujali ameoa au hajaoa.
Ili uachane na hiyo hali ya uzinzi uliokomaa lazima uchukue maamuzi ya kikatili. Nasema maamuzi ya kikatili kwasababu kuna wanawake ving'ang'anizi, ukiwaacha ni kama umekata matumaini yao hivyo hawako tayari kuachika kizembe.

Njia ni mbili tu, waambie kwa sms au kwa kuwapiga simu au wablock kila kona. Whatsapp, Instagram, kwenye sms na voice calls.

Usitoe sababu yoyote. Wewe piga block na hakikisha huoni ujumbe wake kwa njia yoyote.
Ukipiga block endelea na maisha yako ya kawaida.

Mimi nimewahi kuwa na mademu 5 kipindi kimoja. Sasa naweza kuthubutu kusema Sina demu zaidi ya wife.
Kataa zinaa, ishi maisha marefu na yenye mafanikio.
Umenisikitisha sana ulipo sema huna demu hata mmoja. huu uzi ufutwe mara moja unadumaza akiri kwa vijana.
 
Hujaona amesema ana mke?
Ameamua kuelekeza nguvu zake kujenga familia yake, na huo ndio uanaume wa kweli.
Mwanaume wa kweli hawezi kuhatarisha familia yake kwa kuendekeza endekeza nyege za kipindi kifupi.
 
Kila mtu afanye analoona linamfaa. Tusipangiane namna ya kuishi. Furaha yako sio furaha ya mwingine.
 
Back
Top Bottom