Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
He wewe uko Kama hayo uliyoyasema??Shida mtu wa kumuoa ambaye anamaadili, hatakupenda kwa sababu ya mali zako, hatakusumbua , anauwezo wa kulea familia , ataachana na mashoga wanaompoteza
Wanawake wengi wajuaji na wanaakili wanayoita yakisasa
Kupata mke kwa sasa ngumu
Wengi tunawaona wanaoa kwa harusi za mamilioni lakini ndoa huvunjika mda mfupi
Lazima kuwe na uoga