inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
wanataka kumomoa tu, tabia za kiswahiliYaani ndio tunazidi kuonekana kama sisi ni utopolo, yaan sijui Morrison aliwapa nyama ya wapi
wewe upo upande wa Mbumbumbu fc, siyo Vyura fc.Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison?
Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana mioyo? Fredrick Mwakalebela hivi hutumii hata akili za kawaida?
Mkataba wa Morrison na Simba wewe unakuhusu nini? Aliyelalamika kwa Mkataba wa Morrison na Yanga alikuwa ni Morrison mwenyewe siyo Simba.
Sasa kama mkataba walioingia Simba na Morrison una mapungufu wewe Yanga inakuhusu nini? Anatakiwa alalamike Simba au Morrison.
Kwa nini Nyie Viongozi mnataka mwisho Yanga wote tuonekane hatuna akili? Acheni hizo bwana. Tusifunike mambo ya team yetu kwa kuibua suala la Morrison ambalo tayari lilishatufanya tuonekane vilaza.
Badala ya kukomaa team yetu itulie,tuwekeze nguvu zaidi kuijenga bado tunampambania Morrison ambaye hatutaki. Mimi wakati mwingine najisikia aibu sana. Mwishowe sote Yanga tutaonekana ni wapumbavuh.
Kwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekanaKwani yanga wameupataje huo mkataba
Mpumbavu ni wewe mwenyewe ambae hujui kuwa suala la ulinzi wa sheria ni la kila raia, sio lazima awe k iongozi. Sheria za kazi zimechezewa we unaona sawa tu. Pia kanuni za tff, zinaruhusu pingamizi.
Wewe unaonekana ni simba maana bandiko lako limeegemea kuachwa kwa huruma , hakika Yanga hatuko tayari kuburuzwa na TFF lazima haki itendeke na tuwafunze adabu na kuacha kuzichezea sheria zetu.
wewe upo upande wa Mbumbumbu fc, siyo Vyura fc.
tumekushitukia!
hahahaaaa!Wewe ndo utakuwa wale Mbwa aliosema Luc Eymael kuwa wapo Yanga. Yaani ulichoandika kinaonesha kabisa wewe si binadamu ni Mbwa kama alivyosema Eymael Luc
Yaan ndio maana hatuendelei waswahili tuna roho mbaya by nature hutaki mwenzio aendeleewanataka kumomoa tu, tabia za kiswahili
Kweli nyie Utopolo kweli. Waliwambia wameenda CAS kwa kudai kua TFF haikuwadendea haki, hata mlipoashauriwa kwenda Kamati ya rufaa mkakataa mkasema mnaenda CAS. Vipi mmeenda? CAS wamewajibu nini? Mbona Lile lile swala mnapeleka tena TFF wakati mlisema hamuwamini TFF?Sheria zifuatwe, mwenye haki apewe haki yake. Waliovuruga suala la morrison ni tff thimba, walifanya umafia ambao haukubaliki kisoka, sasa acha sheria ichukue mkondo wake
We jamaa acha uongo, kwenye TMS kila klabu ina password yake, uwezi kuingia kwa password ya Yanga ukaona Taarifa za Azam.Kwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekana
Tff na simba ndo waulizaneKwani yanga wameupataje huo mkataba
Hili suala limeshabadilika ,sio pingamizi ni uhalali wa kufanya kazi bila mkataba.Pingamizi Lina time line na deadline ya pingamizi imeisha pita
Hahaaa tatizo hamkujua yanga wamewatega wapi. Dirisha la fifa limefungwa majuzi hapa 30 Sept ndo jamaa wakalipua bomu huku wakijua hakuna nafasi ya umafia wenu tena.Kweli nyie Utopolo kweli. Waliwambia wameenda CAS kwa kudai kua TFF haikuwadendea haki, hata mlipoashauriwa kwenda Kamati ya rufaa mkakataa mkasema mnaenda CAS. Vipi mmeenda? CAS wamewajibu nini? Mbona Lile lile swala mnapeleka tena TFF wakati mlisema hamuwamini TFF?
Mashabiki wa Utopolo msiwe wajinga waulizeni majibu ya rufaa yenu CAS.
Afu mnakesi ya kujibu kuingia kwenye account ya timu bila hidhini ya simba, mlipata wapi password ya kuingia kwenye account ya simba.
Maana kwenye mfumo wa TMS kila klabu ina password yake ya kuingia kwenye account yake
Hili limewakaba mkuu, tulieni mje muone kitakachotokeaNi sawa na kwenda kulalamika mahakamani kwamba mwanamke aliyekuacha na bwanake mpya ndoa yao inawalakini....
Sikia sasa kuwa na walakini kwa ndoa yao haihalalishi ndoa baina yenu.
Morison mwenyewe anaanzia bench na anakuta shughuli ishaisha ndani...anaingia kuenjoy football tu Pasi za mgongo nini....Muacheni tu anenepe.