Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison?

Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana mioyo? Fredrick Mwakalebela hivi hutumii hata akili za kawaida?

Mkataba wa Morrison na Simba wewe unakuhusu nini? Aliyelalamika kwa Mkataba wa Morrison na Yanga alikuwa ni Morrison mwenyewe siyo Simba.

Sasa kama mkataba walioingia Simba na Morrison una mapungufu wewe Yanga inakuhusu nini? Anatakiwa alalamike Simba au Morrison.

Kwa nini Nyie Viongozi mnataka mwisho Yanga wote tuonekane hatuna akili? Acheni hizo bwana. Tusifunike mambo ya team yetu kwa kuibua suala la Morrison ambalo tayari lilishatufanya tuonekane vilaza.

Badala ya kukomaa team yetu itulie,tuwekeze nguvu zaidi kuijenga bado tunampambania Morrison ambaye hatutaki. Mimi wakati mwingine najisikia aibu sana. Mwishowe sote Yanga tutaonekana ni wapumbavuh.
wewe upo upande wa Mbumbumbu fc, siyo Vyura fc.

tumekushitukia!
 
Na press conference akaitisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Badala kuwekeza timu icheze kama timu mnawekeza kwenye uchawi wa kuchungulia chumbani kwa jirani!! Aibu timu ina majina ila mpira hovyoooo.
Morrison hana faida tena kwa Yanga. Kumfuatilia ni kuwapoteza focus wanayanga walioanza kuhoji wanachokiona uwanjani. Utopolo wanabaki Utopolo tuuu.
 
Wewe ndo utakuwa wale Mbwa aliosema Luc Eymael kuwa wapo Yanga. Yaani ulichoandika kinaonesha kabisa wewe si binadamu ni Mbwa kama alivyosema Eymael Luc.

Mpumbavu ni wewe mwenyewe ambae hujui kuwa suala la ulinzi wa sheria ni la kila raia, sio lazima awe k iongozi. Sheria za kazi zimechezewa we unaona sawa tu. Pia kanuni za tff, zinaruhusu pingamizi.
 
Wewe ndo utakuwa wale Mbwa aliosema Luc Eymael kuwa wapo Yanga. Yaani ulichoandika kinaonesha kabisa wewe si binadamu ni Mbwa kama alivyosema Eymael Luc

Wewe unaonekana ni simba maana bandiko lako limeegemea kuachwa kwa huruma , hakika Yanga hatuko tayari kuburuzwa na TFF lazima haki itendeke na tuwafunze adabu na kuacha kuzichezea sheria zetu.
 
Wewe ndo utakuwa wale Mbwa aliosema Luc Eymael kuwa wapo Yanga. Yaani ulichoandika kinaonesha kabisa wewe si binadamu ni Mbwa kama alivyosema Eymael Luc

wewe upo upande wa Mbumbumbu fc, siyo Vyura fc.

tumekushitukia!
 
Ni sawa na kwenda kulalamika mahakamani kwamba mwanamke aliyekuacha na bwanake mpya ndoa yao inawalakini....
Sikia sasa kuwa na walakini kwa ndoa yao haihalalishi ndoa baina yenu.
Morison mwenyewe anaanzia bench na anakuta shughuli ishaisha ndani...anaingia kuenjoy football tu Pasi za mgongo nini....Muacheni tu anenepe.
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Viongozi w Yanga wana jaribu kucheza na akili za Simba kuelekea game ya tar 18
 
Wewe ndo utakuwa wale Mbwa aliosema Luc Eymael kuwa wapo Yanga. Yaani ulichoandika kinaonesha kabisa wewe si binadamu ni Mbwa kama alivyosema Eymael Luc
hahahaaaa!

ukisikia gizani "uwiiiiii!!!" tambua jiwe limegonga utosini.... hahahaaaa!
 
Sheria zifuatwe, mwenye haki apewe haki yake. Waliovuruga suala la morrison ni tff thimba, walifanya umafia ambao haukubaliki kisoka, sasa acha sheria ichukue mkondo wake
Kweli nyie Utopolo kweli. Waliwambia wameenda CAS kwa kudai kua TFF haikuwadendea haki, hata mlipoashauriwa kwenda Kamati ya rufaa mkakataa mkasema mnaenda CAS. Vipi mmeenda? CAS wamewajibu nini? Mbona Lile lile swala mnapeleka tena TFF wakati mlisema hamuwamini TFF?
Mashabiki wa Utopolo msiwe wajinga waulizeni majibu ya rufaa yenu CAS.
Afu mnakesi ya kujibu kuingia kwenye account ya timu bila hidhini ya simba, mlipata wapi password ya kuingia kwenye account ya simba.
Maana kwenye mfumo wa TMS kila klabu ina password yake ya kuingia kwenye account yake
 
Kwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekana
We jamaa acha uongo, kwenye TMS kila klabu ina password yake, uwezi kuingia kwa password ya Yanga ukaona Taarifa za Azam.
Sasa ingekua hivyo mikataba isingekua siri kati ya mwajiri na mwajiriwa,
Huyo mjinga mwenzenu mwakalebela anasema eti mkataba wa mtu ni public. Kama ni public mbona hamjaweka hadharani mikataba ya wachezaji wenu
 
Kweli nyie Utopolo kweli. Waliwambia wameenda CAS kwa kudai kua TFF haikuwadendea haki, hata mlipoashauriwa kwenda Kamati ya rufaa mkakataa mkasema mnaenda CAS. Vipi mmeenda? CAS wamewajibu nini? Mbona Lile lile swala mnapeleka tena TFF wakati mlisema hamuwamini TFF?
Mashabiki wa Utopolo msiwe wajinga waulizeni majibu ya rufaa yenu CAS.
Afu mnakesi ya kujibu kuingia kwenye account ya timu bila hidhini ya simba, mlipata wapi password ya kuingia kwenye account ya simba.
Maana kwenye mfumo wa TMS kila klabu ina password yake ya kuingia kwenye account yake
Hahaaa tatizo hamkujua yanga wamewatega wapi. Dirisha la fifa limefungwa majuzi hapa 30 Sept ndo jamaa wakalipua bomu huku wakijua hakuna nafasi ya umafia wenu tena.

Teh, viongozi wa yanga wana akili sana. Sasa ona mlivoumbuka sasa, fifa inamtambua mchezaji ni wa yanga halafu tff inamtambua kama ni wa simba. Hiki ni kichekesho cha mwaka
 
Ni sawa na kwenda kulalamika mahakamani kwamba mwanamke aliyekuacha na bwanake mpya ndoa yao inawalakini....
Sikia sasa kuwa na walakini kwa ndoa yao haihalalishi ndoa baina yenu.
Morison mwenyewe anaanzia bench na anakuta shughuli ishaisha ndani...anaingia kuenjoy football tu Pasi za mgongo nini....Muacheni tu anenepe.
Hili limewakaba mkuu, tulieni mje muone kitakachotokea
 
Back
Top Bottom