MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Tuna safari ndefuMwigulu Nchemba hakosi hapo.Now nimeelewa kwa nini Kigogo2014 ambae siku hizi kawa pro Mwigulu Nchemba,kutwa anamtukana CEO wa TRC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna safari ndefuMwigulu Nchemba hakosi hapo.Now nimeelewa kwa nini Kigogo2014 ambae siku hizi kawa pro Mwigulu Nchemba,kutwa anamtukana CEO wa TRC.
Hivi Mwanza huduma ni nani??Hakuwa na malori huyo.
Kitu kikubwa kinacho umiza ni fedha zilizolala au zinaoza katika miradi hiyo.Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija.
Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki mabasi na malori ya mizigo na hivyo miradi hii inakuja kuwaondolea abiria na mizigo. Lakini pia wanaambatanisha hujuma zao na kauli kwamba wana mikopo ambayo endapo SGR itakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma basi watashindwa kulipa mikopo yao.
Watu hawa wana nguvu sana, wamekwenda kwa watumishi wa umma na kuwatengenezea hofu wasiruhusu kazi kufanyika kwa kasi inayotakiwa.. Wamemega hata baadhi ya fedha za fidia wananchi walipwe fidia kidogo lengo ni wao kugombanisha serikali na wananchi. Mfano mzuri ni fidia eneo la tabora , mtu analipwa fidia laki mbili na hakuna kuhoji.
Niombe watumishi wa umma watambue Mhe. Rais anaona wanavyomkwamisha. Siku si nyingi makatibu wakuu wataondolewa ofisini, na hata wanasiasa mawaziri wataondolewa ofisini kwa kukwamisha miradi hii.
Kama serikali ilijua hakuna fedha kwanini waliingia mikataba hadi Mwanza badala ya kukamilisha miradi ya awali? Au ndio kusambaza rasilimali kazi ya mwaka ifanyike miaka kumi? Tuweni wazalendo pls
Wanaweza kufikiria hivyo. Ila wanakosea. Tanzania inahitaji Kuunganishwa ni nchi kubwa.Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija.
Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki mabasi na malori ya mizigo na hivyo miradi hii inakuja kuwaondolea abiria na mizigo. Lakini pia wanaambatanisha hujuma zao na kauli kwamba wana mikopo ambayo endapo SGR itakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma basi watashindwa kulipa mikopo yao.
Watu hawa wana nguvu sana, wamekwenda kwa watumishi wa umma na kuwatengenezea hofu wasiruhusu kazi kufanyika kwa kasi inayotakiwa.. Wamemega hata baadhi ya fedha za fidia wananchi walipwe fidia kidogo lengo ni wao kugombanisha serikali na wananchi. Mfano mzuri ni fidia eneo la tabora , mtu analipwa fidia laki mbili na hakuna kuhoji.
Niombe watumishi wa umma watambue Mhe. Rais anaona wanavyomkwamisha. Siku si nyingi makatibu wakuu wataondolewa ofisini, na hata wanasiasa mawaziri wataondolewa ofisini kwa kukwamisha miradi hii.
Kama serikali ilijua hakuna fedha kwanini waliingia mikataba hadi Mwanza badala ya kukamilisha miradi ya awali? Au ndio kusambaza rasilimali kazi ya mwaka ifanyike miaka kumi? Tuweni wazalendo pls
Muda ni maliKuna upigaji mkubwa. Ila mabasi na malori na SGR vinaweza kwenda pamoja.
SGR itakuwa expensive kidogo lakini usafiri wa haraka. Mabasi, malori cheap kidogo ila itatuma muda zaidi.
Watu wataamua. Nchi nyingi duniani zina hizi options zote.
Na wako ndani ya serikali hii
Babu bul, natamani nikuite 'We CHADEMA wewe' ila nasita, kwa sababu waweza kuwa umelishwa tu hayo maneno na Wana CHADEMA kuwa, Huwa hakuna Uchaguzi Tanzania, kitu ambacho kitakuwa sio sahihi.Kwani Huwa Kuna uchagizi?
Zaidi ya watu kupandikizwa
Nimekuelewa chama Mabuzi ila Kila chenye mwanzo kina mwishoBabu bul, natamani nikuite 'We CHADEMA wewe' ila nasita, kwa sababu waweza kuwa umelishwa tu hayo maneno na Wana CHADEMA kuwa, Huwa hakuna Uchaguzi Tanzania, kitu ambacho kitakuwa sio sahihi.
Kukujibu moja kwa moja, NDIO, huwa kuna Uchaguzi Tanzania. Unadai watu wanapandikizwa....Watu wanapandikizwa kivipi?
Kama wewe ni CHADEMA utaenda kususa tena?
nakubaliana na hoja yako kwa asilimia 100, SGR inahujumiwa sana kuanzia kwa CAG hadi Bungeni.Gharama kubwa za kodi za wananchi zimetumika. Lakini wapo viongozi ambao wametumia ofisi za umma kukwamisha miradi ya SGR kwa malumbano yasiyo na tija.
Ukijiuliza wananufaike utasikia wanamiliki mabasi na malori ya mizigo na hivyo miradi hii inakuja kuwaondolea abiria na mizigo. Lakini pia wanaambatanisha hujuma zao na kauli kwamba wana mikopo ambayo endapo SGR itakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma basi watashindwa kulipa mikopo yao.
Watu hawa wana nguvu sana, wamekwenda kwa watumishi wa umma na kuwatengenezea hofu wasiruhusu kazi kufanyika kwa kasi inayotakiwa.. Wamemega hata baadhi ya fedha za fidia wananchi walipwe fidia kidogo lengo ni wao kugombanisha serikali na wananchi. Mfano mzuri ni fidia eneo la tabora , mtu analipwa fidia laki mbili na hakuna kuhoji.
Niombe watumishi wa umma watambue Mhe. Rais anaona wanavyomkwamisha. Siku si nyingi makatibu wakuu wataondolewa ofisini, na hata wanasiasa mawaziri wataondolewa ofisini kwa kukwamisha miradi hii.
Kama serikali ilijua hakuna fedha kwanini waliingia mikataba hadi Mwanza badala ya kukamilisha miradi ya awali? Au ndio kusambaza rasilimali kazi ya mwaka ifanyike miaka kumi? Tuweni wazalendo pls
Sijataja mtu anayekwamisha mkuu, nimetoa mfano tu ambao ndio uhalisia uliopo. Kumbuka siasa ni mchezo wa maslahi binafsi.Hivi kweli Rais, Pm na, makamu wa rais wote wapo!! Inawezekana vipi eti kuna watu wana kwamisha?? Yaani uzembe wa viongozi wakuu kabisa ufichwe kwa kuwalaumu wahuni wachache?!! Sio sawa, wakulaumiwa ni hao!! Ndio ile tabia ya mi ccm mingi siku hizi imeona style ya kulia mbele za wapiga kula ili kutafuta public sympathy, ndio soln!!